Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia yarekebisha msimamo wake kuhusu visiwa vitatu vya Iran

    Russia yarekebisha msimamo wake kuhusu visiwa vitatu vya Iran

    Jul 14, 2023 23:56

    Mwakilishi maalumu wa Rais wa Russia katika masuala ya Mashariki ya Kati na Afrika amesisitiza misimamo thabiti ya nchi yake kuhusiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba ni nchi rafiki na kwamba Moscow inaheshimu mamlaka na umoja wa ardhi yote ya Iran.

  • Russia: Tunakuchukulia kupata Ukraine ndege za kivita za F-16 kuwa ni kitisho cha nyuklia

    Russia: Tunakuchukulia kupata Ukraine ndege za kivita za F-16 kuwa ni kitisho cha nyuklia

    Jul 14, 2023 01:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi yake, tofauti na Waanglo-Saxons, imekuwa ikitafuta amani kila wakati na akabainisha: "tunachukulia Ukraine kupata uwezo wa kijeshi kama wa kuwa na ndege za kivita za F-16 kwamba ni tishio la nyuklia kutoka Magharibi".

  • Siku  500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake

    Siku 500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake

    Jul 10, 2023 09:30

    Vita vya Ukraine vimepitisha siku 500 tangu kuanza na hakuonekani matarajio ya kumalizika vita hivyo vya umwagaji damu barani Ulaya. Vita hivyo ambavyo awali ilidhaniwa kwamba huwenda vingechukua muda mfupi na kumalizka haraka, sasa vimekuwa mapigano ya kijeshi ya muda mrefu na ya umwagaji damu.

  • Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner

    Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner

    Jul 01, 2023 07:06

    Magazeti ya Marekani yameripoti kuwa, Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) alifanya safari ya siri nchini Ukraine, siku chache kabla ya kufanyika uasi wa kundi la Wagner dhidi ya serikali ya Russia mnamo Juni 24.

  • Putin: Wamagharibi walitaka kuona Warusi wakiuana wenyewe kwa wenyewe

    Putin: Wamagharibi walitaka kuona Warusi wakiuana wenyewe kwa wenyewe

    Jun 27, 2023 03:26

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema aliagiza vikosi vya nchi hiyo vijiepushe na umwagaji damu wakati wa uasi wa kundi la Wagner mwishoni mwa wiki iliyopita, akisisitiza kuwa Ukraine na Wamagharibi walitaka kuona wananchi wa Russia wakiuana wenyewe kwa wenyewe.

  • Marais wa Iran na Russia wazungumzia uasi wa Wagner, masuala ya Caucasia

    Marais wa Iran na Russia wazungumzia uasi wa Wagner, masuala ya Caucasia

    Jun 27, 2023 00:00

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono mamlaka ya kujitawala Russia na vile vile hatua zilizochukuliwa na serikali ya Moscow kukomesha uasi wa kundi la Wagner wa Juni 24.

  • Mapatano baina ya Kremlin na kundi la Wagner kwa upatanishi wa Aleksandr Lukashenko

    Mapatano baina ya Kremlin na kundi la Wagner kwa upatanishi wa Aleksandr Lukashenko

    Jun 26, 2023 12:01

    Hatimaye na katika kipindi cha chini ya siku moja, uasi wa kundi la wanamgambo wa Wagner linaloongozwa na Yevgeny Prigozhin umemalizika kwa upatanishi wa Rais Aleksandr Lukashenko wa Belerus.

  • Kremlin yapinga madai ya Macron kwamba Russia 'inayumbisha' amani Afrika

    Kremlin yapinga madai ya Macron kwamba Russia 'inayumbisha' amani Afrika

    Jun 24, 2023 07:49

    Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, imekanusha madai ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron kwamba Russia inavuruga utulivu barani Afrika na kuituhumu Moscow kwamba imetuma makundi ya mamluki barani humo.

  • Russia yapinga kushiriki Macron katika mkutano wa BRICS

    Russia yapinga kushiriki Macron katika mkutano wa BRICS

    Jun 24, 2023 07:13

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Ryabkov alitangaza Alhamisi iliyopita kwamba Moscow haidhani kuwa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ataruhusiwa kuhudhuria mkutano ujao wa kundi la BRICS nchini Afrika Kusini, kwa sababu Paris inatekeleza sera ya chuki dhidi ya Moscow.

  • Ushirikiano wa kifedha baina ya Russia na Venezuela, sarafu ya dola ya Marekani yazidi kuwekwa kando

    Ushirikiano wa kifedha baina ya Russia na Venezuela, sarafu ya dola ya Marekani yazidi kuwekwa kando

    Jun 22, 2023 05:52

    Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, amepongeza hatua ya nchi hiyo kujiunga na mfumo wa malipo wa Russia "Mir" akiutaja utaratibu huu kuwa ni katika mkondo wa kuibuka kwa mtandao mpya na mbadala wa kifedha duniani wa kukabiliana na vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Venezuela.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS