-
Russia yapeleka manowari 3 za kubebea makombora Bahari Nyeusi
Dec 25, 2022 06:59Russia imepeleka manowari tatu za kubebea makombora katika Bahari Nyeusi na kuziweka meli hizo za kivita katika hali ya tahadhari.
-
Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia
Dec 22, 2022 03:47Vita vya Ukraine vinaendelea kama vilivyo licha ya kuingia mwishoni mwa mwezi wake wa 10 tangu vianze, na hakuna ishara zozote za kumalizika karibuni vita hivyo. Kinachoonekana kwenye matukio ya hivi sasa ni kuzidi kuwa vikali tu vita hivyo.
-
Russia: Jinai za kivita za Marekani na Nato Afghanistan zimepuuzwa
Dec 21, 2022 03:54Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa jinai za kivita za Marekani na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) huko Afghanistan zimepuuzwa.
-
Russia yatungua makombora ya Marekani ya HARM
Dec 20, 2022 03:53Russia imesema vikosi vyake vya ulinzi wa anga vimefanikiwa kutungua makombora manne yaliyotengenezwa na Marekani ya HARM, katika anga ya eneo la Belgorod.
-
Iran: Madai ya Marekani kuhusu kushiriki kwetu vita vya Ukraine hayana msingi wowote
Dec 18, 2022 23:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, madai ya Shirika la Kijasusi la Marekani kuhusu ushirikiano wa Iran na Russia na tuhuma zake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kuhusiana na vita vya Ukraine hayana msingi wowote, bali ni muendelezo tu wa vita vya kipropaganda vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Ghana yaituhumu Burkina Faso kwa kuwaajiri mamluki wa Russia wa "Wagner"
Dec 16, 2022 23:33Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana amesema kuwa nchi jirani yake Burkina Faso imeandaa mpango na kundi la wanamgambo wa Russia la "Wagner" ili kuwatumia wanamgambo wa kundi hilo.
-
Onyo la Russia kwa NATO kuhusu kuipa Ukraine mfumo wa makombora wa Patriot
Dec 15, 2022 05:45Serikali ya Russia imetangaza kuwa, uamuzi wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO wa kuipa Ukraine mfumo wa kujilinda kwa makombora wa Patriot umechukuliwa kwa lengo la kuishambulia Russia na hiyo ina maana ya kuihalalishia Moscow kuzishambulia nchi wanachama wa NATO.
-
Kuwa tayari Moscow na Beijing kukabiliana na mashinikizo ya makubwa ya Magharibi
Dec 06, 2022 04:07Waziri Mkuu wa Russia ametangaza kuwa, Moscow na Beijing zinataka kuasisi ngao ya kambi kadhaa na kujiandaa pamoja kukabiliana na changamoto mpya na mashinikizo makubwa ya nchi ajinabi.
-
Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin
Dec 04, 2022 06:09Siku ya Ijumaa, Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ilikataa sharti ambalo Rais wa Marekani Joe Biden alikuwa ameliweka kwa ajili ya mazungumzo na Vladimir Putin kuhusu mgogoro wa Ukraine na kutangaza kwamba mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine yataendelea.
-
Russia: UN inapuuza ukatili dhidi ya wanawake wa Ukraine nchini Sweden
Dec 04, 2022 03:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Umoja wa Mataifa na mashirika ya kutetea haki za binadamu yanafumbia macho dhulma, unyanyasaji na ukatili dhidi ya wanawake wakimbizi wa Ukraine walioko Sweden.