Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia yamfukuza Naibu Balozi wa Marekani mjini Moscow

    Russia yamfukuza Naibu Balozi wa Marekani mjini Moscow

    Feb 17, 2022 23:37

    Russia imemtimua mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani nchini humo, wakati huu ambapo nchi mbili hizo zinaendelea kuzozana kuhusu madai ya Wamagharibi kuwa serikali ya Moscow ina azma ya kuivamia kijeshi Ukraine.

  • Russia: Hatutaki vita barani Ulaya wala Ukraine

    Russia: Hatutaki vita barani Ulaya wala Ukraine

    Feb 16, 2022 03:40

    Rais wa Russia amesema kuwa nchi yake haitaki kutokee vita barani Ulaya wala nchini Ukraine na ni kwa sababu hiyo ndio maana imetoa pendekezo la kudhaminiwa usalama wa eneo hilo.

  • Zelensky adai: Russia itaishambulia Ukraine siku ya Jumatano

    Zelensky adai: Russia itaishambulia Ukraine siku ya Jumatano

    Feb 14, 2022 23:31

    Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amedai kuwa Russia itatekeleza shambulio dhidi ya Kiev siku ya Jumatano.

  • Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia chafanyika Vienna

    Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia chafanyika Vienna

    Feb 13, 2022 08:40

    Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia kimefanyika mjini Vienna Austria kwa kuhudhuriwa pia na wakuu wa timu za mazungumzo wa Iran na Russia.

  • Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya

    Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya

    Feb 12, 2022 06:43

    Nchi za Magharibi zinaendelea kutoa tahadhari mbalimbali kuhusu uwezekano wa Russia kuishambulia Ukraine kufuatia kuongezeka mivutano huko Ulaya Mashariki kati ya Moscow na Kiev.

  • Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia wasisitiza juu ya utekezaji sahihi wa JCPOA

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia wasisitiza juu ya utekezaji sahihi wa JCPOA

    Feb 09, 2022 02:47

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia wamesisitiza juu ya udharura wa kutekelezwa kwa usahihi mapatano ya JCPOA sambamba na kuanza marhala mpya ya duru ya nane ya mazungumzo ya Vienna.

  • Kufichuliwa hitilafu kati ya Berlin na Washington kuhusu Ukraine

    Kufichuliwa hitilafu kati ya Berlin na Washington kuhusu Ukraine

    Jan 29, 2022 23:08

    Gazeti la Ishpigel la nchini Ujerumani limeripoti kuwa Emily Haber Balozi wa Ujerumani mjini Washington ametuma barua ya siri kwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ujerumani akisistiza kuwa Washington inaitambua Ujerumani kama nchi muitifaki asiyeaminika kutokana na kushindwa kutoa ushirikiano unaohitajika kuhusu kadhia ya Ukraine.

  • Takwa la Russia kwa ajili  ya kuondoka haraka vikosi vamizi ajinabi huko Syria

    Takwa la Russia kwa ajili ya kuondoka haraka vikosi vamizi ajinabi huko Syria

    Jan 29, 2022 08:46

    Dmitry Polyanskiy Naibu Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika hotuba yake katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa Russia inataka kuondoka haraka iwezekanavyo vikosi vyote vamizi ajinabi ambavyo vipo kinyume cha sheria huko Syria.

  • Russia yatoa wito wa kuondoka majeshi ya kigeni katika ardhi ya Syria

    Russia yatoa wito wa kuondoka majeshi ya kigeni katika ardhi ya Syria

    Jan 28, 2022 03:20

    Naibu mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuondoka mara moja wanajeshi wote wa kigeni walioko nchini Syria.

  • Rekodi ya utendaji kazi ya Joe Biden, mwaka mmoja wa kuwa madarakani

    Rekodi ya utendaji kazi ya Joe Biden, mwaka mmoja wa kuwa madarakani

    Jan 21, 2022 23:09

    Rais Joe Biden wa chama cha Democrat aliingia madarakani mwaka mmoja uliopita mnamo Januari 20, 2021, huku akitoa ahadi nyingi, hasa za kubadilisha hatua zilizochukuliwa na mtangulizi wake, Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani wa chama cha Republican.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS