-
Khatibzadeh: Mambo muhimu bado yamebakia katika suala la kuondolewa vikwazo Iran
Jan 17, 2022 11:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, masuala muhimu na ya kimsingi katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna Austria bado yamebakia ambapo panahitajika maamuzi maalumu ya kisiasa hususan kutoka upande wa Marekani.
-
Mkutano usio na matunda wa Russia-NATO na kuongezeka kwa mizozo ya pande mbili
Jan 14, 2022 21:14Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Alexander Grushko, ameuambia mkutano wa waandishi wa habari mjini Brussels mwishoni mwa mkutano wa Russia na NATO siku ya Jumatano kwamba, hitilafu za pande mbili zilikuwa wazi na kwamba katika kikao hicho kumejitokeza hitilafu nyingi.
-
Ahadi ya Marekani ya kuilinda Ukraine
Jan 03, 2022 23:15Jumapili iliyopita Rais wa Marekani Joe Biden alizungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelinsky, na kujadili jinsi Marekani na washirika wake watakavyojibu shambulio lolote la kijeshi la Russia dhidi ya nchi hiyo.
-
Rais wa Iran kuitembelea Russia kufuatia mwaliko wa Putin
Dec 29, 2021 04:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kuitembelea Russia mapema mwaka ujao 2022, kufuatia mwaliko wa mwenzake wa nchi hiyo, Vladimir Putin.
-
Lavrov: Haiyumkiniki Russia kujiunga na shirika la kijeshi la NATO
Dec 27, 2021 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema haiyumkiniki nchi hiyo kujiunga na shirika la kijeshi la NATO.
-
Putin akosoa hujuma dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Dec 24, 2021 12:25Rais wa Russia amekosoa hatua za kuhujumu na kupiga ita Uislamu na matukufu ya din hiyo katika nchi za Magharibi.
-
Russia: Walioivamia Afghanistan na kuikalia kwa mabavu miaka 20, ni wajibu wao kuwasaidia wananchi wa nchi hiyo
Dec 24, 2021 04:23Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, nchi zilizoivamia na kuikalia kwa mabavu Afghanistan kwa muda wa miaka 20 ndizo hasa zenye jukumu nambari moja la kuwasaidia wananchi wa nchi hiyo.
-
Onyo la Rais wa Russia la kutoa jibu kijeshi kwa hatua za Marekani barani Ulaya
Dec 22, 2021 23:20Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi yake ina haki kamili ya kujihami dhidi ya hatua zisizo za kirafiki za Marekani na akabainisha kwamba Moscow itachukua hatua mwafaka za kijeshi na kiufundi juu ya suala hilo.
-
Rais wa Russia aionya Marekani kwa hatua za utoaji vitisho inazochukua dhidi ya nchi yake
Dec 21, 2021 23:12Rais Vladimir Putin wa Russia ameionya Marekani kuhusiana na hatua za utoaji vitisho inazochukua dhidi ya nchi yake.
-
Marekani yapinga azimio la Umoja wa Mataifa la kupinga ubaguzi wa rangi
Dec 19, 2021 01:55Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi iliyopita lilipitisha azimio la kulaani aina zote za ubaguzi wa rangi.