-
Ugomvi wa Marekani na Russia wazidi kuwa mkubwa
Jun 05, 2017 04:23Katika kile kinachoonekana wazi ni kuzidi kuongezeka mzozo baina ya Marekani na Russia, mkuu wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA amesema kuwa, Russia ina mikakati ya muda mrefu ya kujipenyeza katika safu za viongozi wa Marekani kwa ajili ya kuwadhibiti.
-
Russia: Marekani ni magaidi wa mitandaoni
May 14, 2017 16:25Makamu wa kwanza wa mkuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Baraza Shirikisho la Russia amesema kuwa, kitendo cha wadukuzi wa Marekani cha kudukua mawasiliano ya kompyuta ya nchi mbalimbali duniani, ni ugaidi wa kimitandao.
-
Russia: Marekani ni magaidi wa mitandaoni
May 14, 2017 12:43Makamu wa kwanza wa mkuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Baraza Shirikisho la Russia amesema kuwa, kitendo cha wadukuzi wa Marekani cha kudukua mawasiliano ya kompyuta ya nchi mbalimbali duniani, ni ugaidi wa kimitandao.
-
Serikali ya Marekani yapinga kuteuliwa Mkuu maalumu wa Mashtaka kuchunguza uhusiano wa Trump na Russia
May 11, 2017 14:57Ikulu ya Marekani White House imepinga kuteuliwa mkuu maalumu wa mashtaka wa kuchunguza uhusiano ambao yamkini ulikuwepo baina ya rais wa nchi hiyo Donald Trump na serikali ya Russia.
-
Russia na China zatuma meli zao za kijeshi karibu na eneo zilipo meli za US, Korea
Apr 18, 2017 04:06Russia na China zimetuma meli zao za kijeshi katika eneo zilipo meli za Marekani karibu na pwani ya Korea Kaskazini kwa lengo la kufuatilia nyendo za meli za Marekani katika eneo hilo.
-
Russia yakosoa misimamo inayokinzana na yenye kutia wasiwasi ya Marekani
Apr 12, 2017 14:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaja misimamo ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati kuwa inayokinzana na yenye kutia wasiwasi.
-
Russia: Uingiliaji wa Marekani katika mgogoro wa Syria umeuvuruga zaidi mgogoro huo
Jan 11, 2017 07:44Waziri wa Ulinzi wa Russia amesema kuwa, muungano unaojulikana kama ulio dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Marekani haujawa na nafasi yoyote chanya katika kupambana na ugaidi nchini Syria, bali hatua hiyo imezidi kuuvuruga mgogoro wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Muungano wa Marekani waharibu kwa makusudi miundombinu ya Syria
Jan 05, 2017 04:34Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa muungano unaoongozwa na Marekani unabomoa kwa makusudi miundombinu ya Syria.
-
Putin amuunga mkono Trump kuhusiana na ustawi wa biashara
Nov 21, 2016 07:19Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa Donald Trump, rais mteule wa Marekani hatavuruga masuala yanayohusiana na ustawishaji wa biashara katika eneo la Bahari ya Pacific.
-
Russia: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya jeshi letu Syria yatajibiwa haraka
Oct 14, 2016 07:44Kamanda wa operesheni za jeshi la Russia amesema kuwa shambulizi lolote litakalolenga askari wa nchi hiyo nchini Syria litakuwa na taathira hatari sana.