-
Jumatano tarehe Mosi Julai mwaka 2020
Jul 01, 2020 08:11Leo ni tarehe 9 Dhulqaada 1441 Hijria inayosadifiana na tarehe Mosi Julai mwaka 2020.
-
Jeshi la Rwanda laua watu 4 waliobeba silaha kutoka Burundi
Jun 28, 2020 07:40Jeshi la Rwanda limetangaza habari ya kuua watu wanne waliokuwa wamebeba silaha raia wa Burundi kusini mwa nchi hiyo.
-
Rais Kagame ataka kuondolewa vikwazo Zimbabwe na Sudan
Jun 04, 2020 07:33Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa mwito wa kuondolewa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Zimbabwe na Sudan ili kuzisaidia nchi hizo katika vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.
-
Rwanda yaripoti kifo cha kwanza cha ugonjwa wa COVID-19
May 31, 2020 11:49Wizara ya Afya ya Rwanda imetangaza kifo cha kwanza kilichosababishwa na ugonjwa wa COVID-19 (corona) katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Kabuga, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari Rwanda akanusha tuhuma dhidi yake
May 28, 2020 03:17Felicien Kabuga, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambaye alikuwa mafichoni kwa muda wa miaka 26 kabla ya kukamatwa siku chache zilizopita nchini Ufransa amekanusha mashitaka ya kuhusika na mauaji hayo.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda: Washukiwa wote wa mauaji ya kimbari lazima watatiwa mbaroni wakati wowote ule
May 21, 2020 15:38Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali ya Rwanda amesema kuwa baada ya kumtia mbaroni mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya nchi hiyo ya mwaka 1994, bwana Felician Kabuga, msako unaendelea.
-
Mafuriko yaua watu 260 Kenya, Rwanda na Somalia
May 08, 2020 08:18Kwa akali watu 260 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afrika Mashariki za Kenya, Rwanda na Somalia.
-
Polisi ya Rwanda yawakamata watu 1,400 jijini Kigali kwa kukiuka 'kafyu ya corona'
May 07, 2020 08:07Watu 1,400 wametiwa nguvuni na polisi katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali kwa kukiuka agizo la kutotoka nje usiku, kama moja ya hatua ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
SAUTI, Madereva wa malori ya kubeba mafuta ya petroli kutoka Tanzania na Kenya waitaka Rwanda kuwafutia ushuru wa usalama
Apr 29, 2020 14:52Baadhi ya madereva wa malori ya kubeba mafuta ya petroli kutoka bandari za Dar es salaam, Tanzania na Mombasa, Kenya wameiomba Wizara ya Biashara na Viwanda ya Rwanda kuwaondolea ushuru wanaoulipa kila siku kwa ajili ya usalama wa magari yao.
-
Kampeni za uchaguzi mkuu kuanza kesho Jumatatu nchini Burundi
Apr 26, 2020 11:35Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametia saini rasmi amri ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu wa rais bunge na madiwani nchini humo. Kampeni hizo zitaanza kesho Jumatatu na kuendelea hadi Jumapili ya tarehe 17 mwezi ujao wa Mei.