-
Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Qur’ani yahimiza mshikamano wa Umma wa Kiislamu
Aug 21, 2026 10:29Imamu wa muda wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran, Hujjat al-Islam wal-Muslimin Muhammad-Hassan Abutorabi-Fard, amesema Wiki ya Umoja na sherehe za kukumbuka kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) hutoa fursa muhimu ya kutafakari ujumbe wa Qur’ani Tukufu kuhusu umoja na mshikamano wa jamii ya Kiislamu.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani si mchezaji mkuu tena Asia Magharibi
Jul 31, 2026 10:58Imamu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran, amesema Marekani si mchezaji mkuu tena katika eneo la Magharibi mwa Asia, akisisitiza kwamba: "Leo, kwa hatua za Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na mapambano yanayotokana na maarifa na imani ya wapiganaji wa Jeshi la Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefikia kiwango cha juu cha kujilinda ambacho kinamfanya adui asiwezi kuanza chochoko ya aina yoyote bila kupata jibu linalofaa."
-
Abu Torabifardi: Utaratibu wa makubaliano ni ahadi kwa ahadi
Jul 11, 2026 02:50Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran amesisitiza kuwa hati ya makubaliano kati ya Iran na Marekani haikuandaliwa kwa msingi wa kuuamini uongozi wa Marekani na kueleza kuwa: Mfumo wa makubaliano hayo ni 'ahadi kwa ahadi'; na tunatangaza wazi wazi kwamba Marekani hataruhusiwa kamwe kuingilia masuala ya Mlango Bahari wa Hormuz.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Adui akikosea, atazabwa kibao kikali
Jun 12, 2026 14:13Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: "Adui wa taifa haelewi lugha ya mazungumzo wala lugha ya kusitisha mapigano, bali anaelewa lugha ya mabavu, ambayo majeshi yetu yamemfanya aielewe vizuri sana na yataendelea kumfanya adui ielewe vizuri zaidi."
-
Imam wa Swala ya Ijumaa Tehran: Maadui watakabiliana na makombora mapya ikiwa watafanya makosa
May 22, 2026 15:05Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: "Iwapo maadui watafanya kosa jingine, watakabiliana na vita vipana zaidi badala ya vita vya kikanda, na badala ya kuzuiliwa Mlango-Bahari wa Hormuz, wakati huo Mlango Bahari wa Bab al-Mandeb pia atafungwa.
-
"Vyombo vya diplomasia vya Iran vijadiliane kwa kuzingatia hekima, izza, na maslahi ya taifa"
Feb 20, 2026 08:03Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, "Vyombo vya kidiplomasia (vya Iran) lazima vichore ramani yake ya mazungumzo kwa njia sahihi, ya uwazi na ufasaha, kwa kuzingatia kanuni za heshima, uwazi na hekima, na kuchukua hatua za ujasiri na imara katika njia hii."
-
Jumanne, 09 Septemba, 2025
Sep 08, 2025 23:20Leo ni Jumanne tarehe 16 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na tarehe 09 Septemba 2025.
-
Ayatullah Khatami: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utamfanya adui ajute
Jun 13, 2025 09:23Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa, kukabiliana na adui na kupambana na mvamizi na dhalimu ni miongoni mwa mafundisho ya Ghadir na akasema: "Kwa fadhila za Mwenyezi Mungu, mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu utamfanya adui ajutie."
-
Ayatullah Khatami: Iran katu haitalegeza msimamo kwa haki yake ya matumizi ya nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani
May 30, 2025 08:05Imamu wa muda wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, Iran katu haitalegeza msimamo kwa haki yake ya matumizi ya nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mazungumzo na Marekani yanaendelea kwa tahadhari
Apr 25, 2025 10:17Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran, Hujjatul-Islam Sayyid Mohammad Hassan Abu-Torabi Fard amesisitiza kuwa mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani yanafanyika kwa tahadhari na kutoka kwenye nafasi yenye nguvu na heshima.