Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sala ya Ijumaa

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Magharibi iwezeshe kufanyika mazungumzo kwa kuheshimu haki za taifa la Iran

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Magharibi iwezeshe kufanyika mazungumzo kwa kuheshimu haki za taifa la Iran

    Nov 29, 2024 08:38

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema: "ikiwa Magharibi itarekebisha mwenendo wake na pande mbili zikaheshimiana, itaweza kuandaa mazingira ya kufanyika mazungumzo na kufikia makubaliano na Iran".

  • Ayatullah Khatami: Uamuzi wa Bodi ya Magavana wa IAEA dhidi ya Iran umefuata matakwa ya Wazayuni

    Ayatullah Khatami: Uamuzi wa Bodi ya Magavana wa IAEA dhidi ya Iran umefuata matakwa ya Wazayuni

    Nov 22, 2024 08:45

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amelichukulia azimio la Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran kuwa linafuata matakwa ya utawala haramu wa Israel.

  • Ijumaa, tarehe 20 Septemba, 2024

    Ijumaa, tarehe 20 Septemba, 2024

    Sep 20, 2024 04:18

    Leo ni Ijumaa tarehe 16 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na Septemba 20 mwaka 2024.

  • Aboutorabi Fard: Wazayuni lazima tutawatia adabu

    Aboutorabi Fard: Wazayuni lazima tutawatia adabu

    Aug 16, 2024 08:21

    Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa, kutiwa adabu utawala wa Kizayuni ni jambo lisiloepukika na watu wote wanaelewa vyema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitoziacha jinai hizo zipite hivi hivi.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Utawala wa Kizayuni ujue kwamba tutalipiza kisasi cha damu ya Shahidi Ismail Haniya

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Utawala wa Kizayuni ujue kwamba tutalipiza kisasi cha damu ya Shahidi Ismail Haniya

    Aug 09, 2024 08:32

    Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesisitiza ulazima wa kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS.

  • Ijumaa, tarehe 26 Julai, 2024

    Ijumaa, tarehe 26 Julai, 2024

    Jul 25, 2024 23:06

    Leo ni Ijumaa tarehe 20 Muharram 1446 Hijria, sawa na 26 Julai mwaka 2024.

  • Ayatullah Khatami: Mirengo yote ina wagombea wao kwenye uchaguzi ujao wa Rais nchini Iran

    Ayatullah Khatami: Mirengo yote ina wagombea wao kwenye uchaguzi ujao wa Rais nchini Iran

    Jun 14, 2024 07:58

    Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa Tehran amesema kuwa, hivi sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeimarika mno kiasi kwamba mirengo yote ina wawakilishi wao katika uchaguzi ujao wa Rais humu nchini.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Vikosi vya ulinzi vya Iran ni mihimili imara mno ya taifa

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Vikosi vya ulinzi vya Iran ni mihimili imara mno ya taifa

    Apr 26, 2024 08:37

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: Vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mihimili imara mno kwa taifa na inayoiletea dini izza na heshima.

  • Hujjatul-Islam Ali Akbari: Maadui wasubiri operesheni zijazo za Kimbunga cha al-Aqsa

    Hujjatul-Islam Ali Akbari: Maadui wasubiri operesheni zijazo za Kimbunga cha al-Aqsa

    Mar 22, 2024 08:16

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema maadui wa Palestina wanapasa kusubiri operesheni ya pili, ya tatu na hata ya nne ya Kimbunga cha al-Aqsa kutoka kwa makundi ya muqawama.

  • Khatibu: Kimbunga cha al-Aqsa kimefichua nidhamu kadhaa za kisiasa duniani

    Khatibu: Kimbunga cha al-Aqsa kimefichua nidhamu kadhaa za kisiasa duniani

    Dec 15, 2023 08:35

    Khatibu wa muda wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na muqawama wa Wapalestina wa Gaza vimefichua kuwepo nidhamu na miundo kadhaa ya kisiasa duniani, sambamba na kuonyesha kuwepo stratejia mpya ya kambi ya muqawama katika eneo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS