-
Saudia yatishia kuikatia UN ufadhili kwa kuiweka kwenye orodha nyeusi
Jun 08, 2016 08:46Saudi Arabia imetishia kukata misaada na ufadhili wake kwa Umoja wa Mataifa, siku chache baada ya Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa umoja huo kuuweka muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na nchi hiyo dhidi ya Yemen kwenye orodha yake nyeusi.
-
Wananchi wa Yemen wafanywa wahanga wa mchezo wa UN katika uwanja wa Saudi Arabia
Jun 07, 2016 23:11Umoja wa Mataifa umetupilia mbali msimamo wake wa awali na kulifuta jina la Muungano vamizi unaoongozwa na Saudia huko Yemen katika orodha yake nyeusi kutokana na kukiuka haki za watoto wa Yemen.
-
Kuendelea hatua haribifu za Saudia katika soko la mafuta
Jun 07, 2016 02:16Katika kuendeleza ushindani wake dhidi ya Iran kuhusiana na mgao wa kila nchi katika soko la mafuta, Saudi Arabia imeshusha bei ya mafuta yake mepesi inayouza kwa nchi za Ulaya.
-
Nchi za Kiislamu zibadili usimamizi wa Hija
Jun 05, 2016 23:19Mkuu wa Shirika la Hija na Ziara za Kidini la Iran amesema kuna udharura wa nchi za Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu kuanzisha mkakati wa kubadilisha muundo wa usimamizi wa Ibada ya Hija na kuzuia mwenendo wa ubaguzi na utumiaji mabavu wa Saudi Arabia kuhusu ibada hiyo ya kila mwaka.
-
Saudia ibebe lawama za kushindwa Wairani kwenda Hija mwaka huu
May 31, 2016 03:16Mkuu wa Idara ya Ghuba ya Uajemi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, ukoo tawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia ndio unaopaswa kubeba lawama za kushindwa Waislamu wa Iran kwenda Hija mwaka huu.
-
Umoja wa Mataifa Wakosoa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Bahrain na Saudia
May 31, 2016 03:09Sambamba na kutangazwa hukumu ya kidhalimu dhidi ya wanaharakati wa kisiasa wa Bahrain na Saudi Arabia, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetoa ripoti na kuzituhumu tawala za nchi hizo mbili kuwa wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu duniani.
-
Rouhani: Saudia inatumikia maslahi ya Israel kwa kuwazuia Mahujaji Wairani
May 30, 2016 23:12Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani hatua ya Saudia kuwazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu na kusema hatua hiyo ni kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jaberi Ansari: Saudia inapasa kulaumiwa kwa kushindwa Waislamu wa Iran kwenda Hija mwaka huu
May 29, 2016 03:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Saudi Arabia imeifungia Iran njia zote na kwamba Wasaudia wanapasa kulaumiwa iwapo Waislamu watashindwa kwenda Hija mwaka huu.
-
Baada ya kuikabidhi Riyadh visiwa viwili, sasa Rais el Sisi aruhusu raia wa Saudia kumiliki ardhi Misri
May 27, 2016 23:20Hivi karibuni wananchi wa Misri walifanya maandamano makubwa ya kulalamikia hatua ya Rais Abdul Fattah el Sisi ya kuipa Saudia visiwa viwili vya nchi hiyo.
-
Frangieh: Marekani haina uwezo wa kuidhoofisha Hizbullah
May 27, 2016 23:17Mkuu wa harakati ya el Marada ya Lebanon amesema kuwa, vikwazo vya kifedha vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Hizbullah haviwezi kuidhoofisha harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu.