-
Houthi: Saudia wanashirikiana na al-Qaeda Yemen
Feb 23, 2016 04:26Abdul Malik al-Houthi, kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa Saudi Arabia na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda zinashirikiana katika mashambulizi yao ya kutisha nchini Yemen.
-
Mbinu mpya za Saudi Arabia za kushadidisha mgogoro wa kisiasa wa Lebanon
Feb 23, 2016 00:11Kufuatia kujiuzulu Waziri wa Sheria wa Lebanon, Ashraf Rifi siku ya Jumapili, dunia imeanza kushuhudia hila na njama mpya za Saudia Arabia zenye lengo la kupanua zaidi mgogoro wa kisiasa huko Lebanon.
-
Syria yatoa tena onyo kali kwa Saudia
Feb 21, 2016 12:31Spika wa Bunge la Syria ametoa onyo kali kwa ukoo wa Aal Saud unaojigamba kuwa utatuma wanajeshi wake nchini Syria.
-
Mwanaharakati: Saudia ilihusika kukandamizwa Waislamu Nigeria
Feb 20, 2016 12:09Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeukosoa utawala wa Aal-Saud kwa kutumia mamilioni ya dola kuishinikiza serikali ya Nigeria kuwakandamiza wafuasi wa harakati hiyo.
-
Madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia dhidi ya Iran
Feb 20, 2016 09:56Akizungumza kwenye mahojiano na kanali ya CNN katika kuhalalisha hatua zake za kisiasa katika eneo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameituhumu Iran kuwa inatekeleza siasa za kuibua malumbano ya kimadhehebu katika eneo.
-
Kuendelea mashambulio ya Saudia nchini Yemen
Feb 20, 2016 02:29Ndege za kivita za jeshi la Saudi Arabia, kwa mara nyingine tena zimefanya mashambulizi ya kikatili katika mji mkuu wa Yemen San'a na kuua kwa umati raia wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Assad: Azma ya Saudia na Uturuki kuivamia Syria ilianza miaka 2 iliyopita
Feb 16, 2016 04:18Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema mpango wa Saudi Arabia na Uturuki kutaka kuingia kijeshi nchini Syria ulianza miaka miwili iliyopita.
-
Saudi Arabia yasisitiza kuondolewa haraka Yemen misaada ya kimataifa
Feb 14, 2016 09:53Saudi Arabia imewataka wafanyakazi wa huduma za misaada ya kimataifa kuondoka haraka iwezekakavyo huko Yemen lengo likiwa ni kuzidisha mgogoro wa kibinadamu nchini humo.
-
Wanajeshi Wayemen waua askari 20 Wasaudia Jizan
Feb 12, 2016 12:23Askari wasiopungua 20 wa Saudi Arabia wameuawa katika katika eneo la Jizan kusini magharibi mwa ufalme huo katika mapigano na wanajeshi wa Yemen.
-
Kushindwa chokochoko za Saudi Arabia katika eneo la Mashariki ya Kati
Feb 08, 2016 23:00Ukiritimba na chokochoko za Saudi Arabia ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita katika eneo la Mashariki ya Kati vimeusababishia utawala wa kifalme wa familia ya Aal Saud matatizo makubwa yasiyo na kifani.