Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Ripoti: Muungano wa Marekani-Saudia-Israel dhidi ya Iran unadorora katika mgogoro

    Ripoti: Muungano wa Marekani-Saudia-Israel dhidi ya Iran unadorora katika mgogoro

    Oct 05, 2019 03:15

    Muungano dhidi ya Iran ambao umeundwa na watawala wa Marekani, Israel na Saudi Arabia unadorora huku kila mmoja wa watawala wa nchi hizo akikumbwa na matatizo makubwa.

  • Yemen yajibu hatua ya muungano vamizi wa Saudia ya kupuuza mpango wa amani

    Yemen yajibu hatua ya muungano vamizi wa Saudia ya kupuuza mpango wa amani

    Oct 03, 2019 10:31

    Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia utakabiliwa na vipigo visivyo na ukomo iwapo mpango wa amani wa Yemen utafeli.

  • Reuters: Baadhi ya wanafamilia ya kifalme Saudia wanataka Bin Salman awekwe kando, ami yake ashike madaraka

    Reuters: Baadhi ya wanafamilia ya kifalme Saudia wanataka Bin Salman awekwe kando, ami yake ashike madaraka

    Oct 03, 2019 04:27

    Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa, baadhi ya wanafamilia ya kifalme inayotawala Saudi Arabia na wafanya biashara wakubwa wa nchi hiyo wameeleza kuvunjwa moyo na uongozi wa mrithi wa ufalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman baada ya hujuma na mashambulizi makali ya wapiganaji wa harakati ya Ansarullah wa Yemen dhidi ya vituo na taasisi za kuzalisha mafuta mwezi uliopita.

  • Uturuki kuendelea kufichua zaidi kuhusu mauaji ya Khashoggi, mwandishi habari mkosoaji wa Saudia

    Uturuki kuendelea kufichua zaidi kuhusu mauaji ya Khashoggi, mwandishi habari mkosoaji wa Saudia

    Oct 01, 2019 04:18

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema katika kipindi cha siku chache zijazo, nchi yake itaendelea kufichua zaidi kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi habari mkosoaji mkubwa wa utawala wa Saudi Arabia.

  • Bin Salman: Vita na Iran vitapelekea uchumi wa dunia uangamie

    Bin Salman: Vita na Iran vitapelekea uchumi wa dunia uangamie

    Sep 30, 2019 23:18

    Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia Arabia Mohammad bin Salman (MbS) ameonya kuwa, vita na Iran vitapelekea kuangamia kikamilifu uchumi wa dunia. Aidha ametoa wito wa kutatuliwa 'kwa amani' mgogoro na Iran katika kauli ambayo inatafautiana na matamshi yake ya huko nyuma ya kivita na majigambo.

  • Mlinzi binafsi wa Mfalme wa Saudia apigwa risasi na kuuawa

    Mlinzi binafsi wa Mfalme wa Saudia apigwa risasi na kuuawa

    Sep 29, 2019 04:09

    Mlinzi binafsi wa mfalme wa Saudi Arabia, Meja Jenerali Abdulaziz al Faghem ameuawa katika kile kilichotajwa kuwa 'hitilafu za kibinafsi'.

  • Rouhani: Nchi za Ulaya zimekiri hazijui aliyeshambulia Aramco

    Rouhani: Nchi za Ulaya zimekiri hazijui aliyeshambulia Aramco

    Sep 27, 2019 23:10

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema licha ya nchi za Ulaya kuituhumu Tehran kuwa imehusika katika mashambulizi yaliyolenga kituo kikubwa cha kusafisha mafuta cha Aramco nchini Saudi Arabia, lakini viongozi wa nchi hizo wamekiri wazi kuwa hawajui ni nani aliyetekeleza hujuma hizo.

  • Pakistan yaitaka Saudia kujiepusha na hatua yoyote itakayotishia usalama wa eneo

    Pakistan yaitaka Saudia kujiepusha na hatua yoyote itakayotishia usalama wa eneo

    Sep 23, 2019 23:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema kuwa, nchi hiyo imeitaka Saudi Arabia kuchukua tahadhari kutokana na uamuzi wowote wa haraka ambao unaweza kutishia usalama na amani ya eneo.

  • Mchezo wa Aramco; makelele ya timu ya Trump na jibu la Zarif

    Mchezo wa Aramco; makelele ya timu ya Trump na jibu la Zarif

    Sep 20, 2019 04:35

    Licha ya kuwa sababu ya kushambuliwa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aramco nchini Saudi Arabia inapasa kutafutwa katika vita vya Yemen lakini watawala wa Saudia na Marekani wanaelekeza sababu hiyo kwingine kwa kuituhumu Iran kuwa imehusika katika shambulio hilo.

  • Vikwazo dhidi ya Iran; radiamali ya Marekani juu ya kudhalilishwa Saudia katika shambulio la Aramco

    Vikwazo dhidi ya Iran; radiamali ya Marekani juu ya kudhalilishwa Saudia katika shambulio la Aramco

    Sep 20, 2019 03:34

    Baada ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Saudi Arabia Aramco, kushambuliwa kwa ndege zisizokuwa na rubani na jeshi la Yemen, kwa mara nyingine tuhuma za Marekani zimekuwa zikielekezwa kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS