Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Jumuiya ya Maimamu Tunisia: Saudia inatumia mapato ya Hija kushambulia nchi za Waislamu

    Jumuiya ya Maimamu Tunisia: Saudia inatumia mapato ya Hija kushambulia nchi za Waislamu

    Jun 21, 2018 23:16

    Jumuiya ya Maimamu wa Swala za Jamaa nchini Tunisia imetoa taarifa ikisisitiza kuwa Saudi Arabia inatumia mapato yanayotokana na ibada ya Hija kwa ajili ya kuzishambulia nchi nyingine za Kiislamu na imemtaka Mufti Mkuu wa nchi hiyo kusimamisha safari za kwenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu huko Saudia.

  • Ndege za Saudia zadondosha mabomu Hudaydah Yemen wakati wa Sala ya Idul Fitri

    Ndege za Saudia zadondosha mabomu Hudaydah Yemen wakati wa Sala ya Idul Fitri

    Jun 15, 2018 10:59

    Ndege za kivita za muungano unaoongozwa na Saudia zimedondosha mabomu katika maeneo ya mji wa bandarini ya Hudaydah nchini Yemen wakati wakaazi wa mji huo wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya Sala ya Idul Fitr mapema leo asubuhi.

  • Saudia yadondosha mabomu katika kituo cha tiba nchini Yemen

    Saudia yadondosha mabomu katika kituo cha tiba nchini Yemen

    Jun 12, 2018 09:14

    Ndege za kivita za Saudi Arabia zimedondosha mabomu katika kituo kimoja cha afya cha kuwatibu watu wenye kipindupindu nchini Yemen ambacho kinasimamiwa na Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF).

  • Ripoti: Saudia inafanya mipango ya kumrejesha madarakani dikteta wa zamani wa Tunisia

    Ripoti: Saudia inafanya mipango ya kumrejesha madarakani dikteta wa zamani wa Tunisia

    Jun 12, 2018 02:03

    Chombo kimoja cha habari nchini Tunisia kimefichua kuwa Saudi Arabia inafanya njama za kumrejesha madarakani dikteta wa zamani wa nchi hiyo.

  • Meja Jenerali Soleimani: Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imebadilika kuwa serikali ya Muqawama

    Meja Jenerali Soleimani: Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imebadilika kuwa serikali ya Muqawama

    Jun 11, 2018 23:47

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema: Saudi Arabia imetumia katika muda mfupi tu dola milioni 200 kwa ajili ya uchaguzi wa bunge la Lebanon, lakini harakati ya Hizbullah ndiyo iliyoibuka mshindi katika uchaguzi huo.

  • Ripoti: Saudia na Imarati zinapanga kufanya mapinduzi Bahrain

    Ripoti: Saudia na Imarati zinapanga kufanya mapinduzi Bahrain

    Jun 09, 2018 03:39

    Tovuti ya habari ya Middle East Eye imeripoti kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zinapanga njama ya kumuondoa mamlakani Waziri Mkuu wa Bahrain, Khalifa bin Salman Aal-Khalifah.

  • Qatar: Saudia iache kuingiza masuala ya dini katika mgogoro wa kisiasa

    Qatar: Saudia iache kuingiza masuala ya dini katika mgogoro wa kisiasa

    Jun 06, 2018 09:50

    Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini Qatar sambamba na kuelezea mwenendo wa vizuizi vinavyofanywa na Saudia kwa ajili ya kuwazuia raia wa nchi hiyo kuweza kushiriki ibada ya hija, imeitaka Riyadh kuacha kuyaingiza masuala ya kidini katika mgogoro wa kisiasa wa pande mbili.

  • Mwaka mmoja wa mgogoro kati ya nchi za Kiarabu

    Mwaka mmoja wa mgogoro kati ya nchi za Kiarabu

    Jun 06, 2018 01:27

    Umetimia mwaka mmoja tokea uanze mgogoro baina ya nchi za Kiarabu na dalili zote zinaonyesha kuwa mgogoro huo ungali unaendelea bali hata utazidi kupanuka na kuwa mbaya zaidi.

  • Marekani, Israel, Saudia zachochea machafuko Jordan kwa kupinga kuhamishiwa ubalozi wa Marekani mjini Quds

    Marekani, Israel, Saudia zachochea machafuko Jordan kwa kupinga kuhamishiwa ubalozi wa Marekani mjini Quds

    Jun 05, 2018 22:04

    Gazeti moja la utawala wa Kizayuni wa Israel limefichua kuwa, Israel, Marekani, Saudi Arabia na baadhi ya nchi nyingine za Kiarabu zinahusika katika machafuko yanayoendelea nchini Jordan kutokana na nchi hiyo kushiriki katika kikao cha kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani uliokuweko Tel Aviv.

  • Saudia yaendelea kuitumia Hija kisiasa kwa kuwazuia Waqatar wasiende kufanya Umra ya Ramadhani

    Saudia yaendelea kuitumia Hija kisiasa kwa kuwazuia Waqatar wasiende kufanya Umra ya Ramadhani

    Jun 05, 2018 22:02

    Serikali ya Saudi Arabia imeendelea kuitumia ibada ya Hija kisiasa kwa kuweka masharti kadhaa yanayowazuia Waislamu kutoka Qatar kwenda kutekeleza Umra katika mwezi huu wa Ramadhani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS