Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudia inahusika na kueneza virusi vya kipindupindu Yemen

    Saudia inahusika na kueneza virusi vya kipindupindu Yemen

    Jul 09, 2017 09:39

    Rais wa zamani wa Yemen, Ali Abdullah Saleh, amesema Saudi Arabia ndio chimbuko la mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen ambao Umoja wa Mataifa umeutaja kuwa mbaya zaidi duniani.

  • Marekani inahofia kuongezeka hali ya mvutano kati ya waitifaki wake Mashariki ya Kati

    Marekani inahofia kuongezeka hali ya mvutano kati ya waitifaki wake Mashariki ya Kati

    Jul 07, 2017 10:35

    Serikali ya Marekani imesema ina wasiwasi wa uwezekano wa kuongezeka hali ya mvutano kati ya Qatar na Saudi Arabia.

  • Taarifa ya pamoja ya Saudia na waitifaki wake dhidi ya Qatar

    Taarifa ya pamoja ya Saudia na waitifaki wake dhidi ya Qatar

    Jul 06, 2017 23:28

    Saudi Arabia na waitifaki wake zimetoa taarifa ya pamoja na kudai kuwa hatua ya Qatar ya kukataa masharti ya nchi nne za Kiarabu zilizoiwekea vikwazo vya kila namna nchi hiyo inaonesha nia ya Doha ya kuhatarisha usalama na utulivu wa eneo hili.

  • Hofu ya mapinduzi Saudia, watawala wakwepa mkutano wa G20

    Hofu ya mapinduzi Saudia, watawala wakwepa mkutano wa G20

    Jul 05, 2017 10:01

    Mfalme na mrithi wa kiti cha ufalme Saudi Arabia wanaripotiwa kukwepa kuhudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za G20 huko Hamburg, Ujerumani kwa kuhofia mapinduzi nchini kwao.

  • Waislamu Marekani wakumbuka uhalifu wa mawahabi wa kubomoa makaburi ya Maswahaba

    Waislamu Marekani wakumbuka uhalifu wa mawahabi wa kubomoa makaburi ya Maswahaba

    Jul 04, 2017 11:12

    Waislamu katika maeneo mbalimbali wamekusanyika wakikumbuka kitendo kiuvu cha kubomolewa makaburi ya Jannat al-Baqi'i mjini Madina kilichofanywa na mawahabi wa Saudi Arabia miongo kadhaa iliyopita.

  • Uingereza: Tunaiunga mkono Saudi Arabia juu ya Qatar

    Uingereza: Tunaiunga mkono Saudi Arabia juu ya Qatar

    Jul 04, 2017 03:35

    Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amesema kuwa anaiunga mkono Saudia katika mgogoro na Qatar.

  • Safavi: Kuna hatari ya kutokea fitna mpya Ghuba ya Uajemi

    Safavi: Kuna hatari ya kutokea fitna mpya Ghuba ya Uajemi

    Jul 03, 2017 23:12

    Mshauri Mkuu wa Amirijeshi Mkuu wa Vikosi vyote vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baada ya Marekani, Saudi Arabia na Wazayuni kushindwa vibaya katika nchi za Iraq na Syria, hivi sasa kuna uwezekano kundi hilo likaanzisha fitna mpya katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Qatar yatangaza jeshi lake liko tayari kwa ajili vita

    Qatar yatangaza jeshi lake liko tayari kwa ajili vita

    Jul 03, 2017 02:11

    Waziri wa Ulinzi wa Qatar amesema jeshi la nchi hiyo liko tayari kuilinda nchi hiyo endapo itakabiliwa na chokochoko tarajiwa za maadui.

  • Utunishaji misuli dhidi ya Qatar na masharti yasiyotekelezeka ya Saudia

    Utunishaji misuli dhidi ya Qatar na masharti yasiyotekelezeka ya Saudia

    Jul 01, 2017 02:07

    Saudi Arabia na waitifaki wake wamezidi kuitunishia misuli Qatar kwa kuipa masharti 13 magumu ambayo ni muhali kutekelezeka. Viongozi wa nchi mbalimbali, wanasiasa mashuhuri wa kieneo na kimataifa akiwemo pia Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, wote wamesema kuwa masharti hayo hayatekelezeki.

  • New York Times: Mrithi wa ufalme wa Saudia aliyengólewa, amewekwa kifungo cha nyumbani

    New York Times: Mrithi wa ufalme wa Saudia aliyengólewa, amewekwa kifungo cha nyumbani

    Jun 29, 2017 09:58

    Gazeti la New York Times la nchini Marekani limefichua kuwa, Muhammad bin Nayef bin Abdulaziz Aal Saud mrithi wa kiti cha ufalme aliyepigwa kalamu nyekundu hivi karibuni nchini Saudia, sasa amewekwa katika kifungo cha nyumbani kwenye kasri yake mjini Jeddah na kuzuiliwa kusafiri nje ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS