Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Libya yaitaka Saudi Arabia ieleze kwa nini imewatia mbaroni raia wake

    Libya yaitaka Saudi Arabia ieleze kwa nini imewatia mbaroni raia wake

    Jun 28, 2017 10:53

    Serikali ya Libya imedhihirisha kukasirishwa kwake na kitendo cha Saudi Arabia cha kuwakamata raia wa nchi hiyo walipokuwa wanajiandaa kurejea nyumbani na kuitaka Riyadh itoe maelezo kuhusiana na sababu za kuwatia mbaroni raia hao wa Libya.

  • Qatar yalaani ukaidi wa Saudia wa kukataa suluhu

    Qatar yalaani ukaidi wa Saudia wa kukataa suluhu

    Jun 28, 2017 10:34

    Serikali ya Qatar imelaani ukaidi wa Saudi Arabia wa kukataa kufanya mazungumzo na Doha kwa ajili ya kutafuta njia za kuondoa vikwazo vya nchi nne za Kiarabu dhidi ya Qatar.

  • Ujerumani: Masharti iliyopewa Qatar ni ya kichochezi sana

    Ujerumani: Masharti iliyopewa Qatar ni ya kichochezi sana

    Jun 27, 2017 03:16

    Ujerumani imeyataja kuwa ya kichochezi sana masharti iliyopewa Qatar kabla ya kutatulwa mgogoro wake na nchi nne za Kiarabu zinazoongozwa na Saudi Arabia.

  • Mohammed bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme anayetumia fedha nyingi katika historia ya ukoo wa Aal Saud

    Mohammed bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme anayetumia fedha nyingi katika historia ya ukoo wa Aal Saud

    Jun 26, 2017 11:53

    Gazeti la al Manar limeripoti kuwa, Mohammed bin Salman Aal Saud ni mmoja wa warithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ambaye ametumia mabilioni ya dola ili kuonyesha uwezo wake.

  • Udiplomasia wa Marekani na changamoto ya hitilafu baina ya Trump na Tillesron

    Udiplomasia wa Marekani na changamoto ya hitilafu baina ya Trump na Tillesron

    Jun 26, 2017 11:34

    Gazeti la New York Times limefichua hitilafu zilizopo kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo Rex Tillerson kuhusu mvutano uliopo kati ya Saudi Arabia na Qatar.

  • Wanajeshi wa Saudia wamuua mkuu wa Baraza la Qur'ani huko Qatif

    Wanajeshi wa Saudia wamuua mkuu wa Baraza la Qur'ani huko Qatif

    Jun 25, 2017 10:58

    Wanajeshi wa utawala wa Saudi Arabia wamempiga risasi na kumuua mwenyekiti wa baraza la Qur'ani katika mji Awamiya katika eneo la Qatif mashariki mwa nchi hiyo.

  • Saudia na Israel zafanya mazungumzo kuhusu makubaliano ya kibiashara

    Saudia na Israel zafanya mazungumzo kuhusu makubaliano ya kibiashara

    Jun 18, 2017 09:06

    Gazeti la The Times la Uingereza limefichua kuwa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinafanya mazungumzo juu ya kile kinachotajwa kuwa mabadilishano rasmi ya kihistoria ya kibiashara.

  • Mauzo ya silaha, faida ya Marekani kutokana na mgogoro wa Saudia na Qatar

    Mauzo ya silaha, faida ya Marekani kutokana na mgogoro wa Saudia na Qatar

    Jun 16, 2017 08:31

    Hatua ya Saudi Arabia na kundi lake ya kuanzisha mgogoro na nchi ndogo ya Qatar, imeipa Marekani kisingizio cha kuiuzia Doha ndege 36 za kivita aina ya F 15 zenye thamani ya dola bilioni 12.

  • Wamisri waandamana kupinga kupewa Saudia visiwa viwili vya nchi yao

    Wamisri waandamana kupinga kupewa Saudia visiwa viwili vya nchi yao

    Jun 14, 2017 03:45

    Wananchi wa Misri wamefanya maandamano katika mji mkuu Cairo, kulalamikia uamuzi wa Bunge la hiyo nchi hiyo wa kuidhinisha kupewa Saudi Arabia visiwa viwili vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika vya Tiran na Sanafir.

  • Jeshi la Yemen lalipiza kisasi na kuua wanajeshi wanne Wasaudi

    Jeshi la Yemen lalipiza kisasi na kuua wanajeshi wanne Wasaudi

    Jun 13, 2017 23:48

    Wanajeshi wanne wa Saudi Arabia wameuawa katika oparesheni ya pamoja ya kulipiza kisasi ya Jeshi la Yemen na wapiganaji wa Ansarullah katika eneo la Asir ndani ya ardhi ya Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS