-
Waturuki 2 wauawa, Mkenya ajeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Mogadishu
Mar 30, 2016 22:37Watu sita wakiwemo Waturuki wawili wameuawa katika shambulizi lililolenga basi dogo lililokuwa limebeba wafanyakazi wa hospitali moja inayosimamiwa na Uturuki katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Zaidi ya watu 50 wauawa katika mripuko wa bomu Pakistan
Mar 27, 2016 22:30Kwa akali watu 52 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kwenye mripuko wa bomu uliotikisa mji wa Lahore, kaskazini mashariki mwa Pakistan.
-
Nchi jirani na Libya zapinga mashambulizi ya kigeni nchini humo
Mar 22, 2016 22:53Mawaziri wa nje wa nchi jirani na Libya wamepinga aina yoyote ya mashambulizi ya nchi za kigeni nchini humo na kuunga mkono serikali mpya ya nchi hiyo.
-
7 wauawa hotelini katika hujuma ya wabeba silaha huko Kodivaa
Mar 13, 2016 13:19Kwa akali watu 7 wameuawa baada ya kundi la watu waliokuwa na silaha kuvamia hoteli moja ya kifahari mjini Abidjan nchini Ivory Coast.
-
Ban ataka kufanyike uchunguzi kuhusu shambulizi la Saudia dhidi ya soko Yemen
Feb 29, 2016 03:37Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufanyika uchunguzi haraka kuhusu shambulizi la anga lililolenga soko lililokuwa na watu wengi nchini Yemen.
-
Boko Haram washambulia mazishi Cameroon; waua 6 na kujeruhi 30
Feb 10, 2016 11:53Watu wasiopungua sita wameuawa na wengine 30 wamejeruhiwa wakati magaidi wawili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram walipojiripua kwenye umati wa watu waliokuwa kwenye shughuli ya mazishi ya Waislamu katika eneo la Nguetchewe nchini Cameroon.