-
Iran yalaani shambulio la kigaidi lilioua na kujeruhi zaidi ya 100 Nigeria
Aug 17, 2017 02:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la kigaidi lililosababisha mauaji ya makumi ya watu nchini Nigeria usiku wa kuamkia jana Jumatano.
-
Walinganiaji wa Qur'ani kutoka Kuwait wauawa katika shambulizi la Burkina Faso
Aug 15, 2017 16:17Walinganiaji wawili wa Qur'ani kutoka Kuwait ni miongoni mwa raia wa kigeni waliouawa katika shambulizi la kigaidi lililolenga mgahawa wa Aziz Istanbul katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou usiku wa kuamkia jana.
-
Askari 7, raia 1 wauawa katika mashambulizi ya mabomu Somalia
Aug 06, 2017 07:40Kwa akali askari saba wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika mashambulizi ya mabomu yalilolenga msafara wa magari ya jeshi karibu na mji wa Baidoa nchini Somalia.
-
Magaidi washambulia msikiti kwa bomu na kuua makumi, Afghanistan
Aug 02, 2017 08:08Habari kutoka Afghanistan zinaarifu kwamba, makumi ya watu wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi dhidi ya msikiti mmoja wa Waislamu wa madhehebu ya Shia lililotokea jana jioni mjini Herat, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Jul 30, 2017 15:14Watu sita wameuawa na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa baada ya bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari kuripuka katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza ataka misikiti ilindwe baada ya gaidi kushambulia Waislamu, London
Jun 20, 2017 02:33Waziri Mkuu wa Uingereza ametoa wito wa kuzidishwa ulinzi wa misikiti ya Waislamu baada ya gaidi kushambulia Waislamu waliokuwa wamekamilisha ibada ya Swala mjini London.
-
Watano wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu, Cairo, Misri
Jun 18, 2017 07:42Mripuko mmoja wa bomu uliotokea kusini mwa Cairo, mji mkuu wa Misri umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine wanne.
-
Alaeddin Boroujerdi: Marekani ni mpangaji mkuu wa njama dhidi ya Iran
Jun 10, 2017 03:57Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mashambulio ya kigaidi ya siku ya Jumatano hapa mjini Tehran na kusema kuwa, hapana shaka kuwa, mpangaji mkuu wa njama hiyo ni Marekani mtenda jinai.
-
Mohammadi-Golpayegani: Maadui hawawezi kulikatisha tamaa taifa la Iran kwa kufanya mauaji
Jun 09, 2017 15:25Mkuu wa ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hatua ya maadui ya kufanya mauaji katu haiwezi kulikatisha tamaa taifa la Iran.
-
Wairan wawaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi ya Tehran
Jun 09, 2017 08:21Shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya juzi hapa Tehran imefanyika kwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu pamoja na familia za mashahidi hao katika ukumbi wa Aftab wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge.