-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mashambulizi ya kigaidi ya Tehran hayatavuruga azma ya taifa la Iran
Jun 09, 2017 08:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe wa rambirambi kwa mnasaba wa mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika siku chache zilizopita mjini Tehran akisisitiza kuwa, jinai hiyo haiwezi kutia doa katika irada na azma ya taifa la Iran.
-
Rouhani: Iran itajibu mapigo ya maadui kupitia umoja na mshikamano
Jun 08, 2017 06:53Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha njama za maadui kupitia umoja na mshikamano wa wananchi wa taifa hili.
-
Trump awalaumu na kuwakejeli mashahidi wa mashambulio ya Tehran
Jun 08, 2017 06:46Katika hali ambayo dunia nzima inaendelea kutoa mkono wa pole na kutuma salamu za rambirambi kufuatia mashambulio pacha ya kigaidi yaliyotokea jana hapa mjini Tehran, Rais Donald Trump wa Marekani ametoa ujumbe unaoonekana kuwalaumu na kuwakejeli mashahidi waliouawa katika hujuma hizo.
-
Kituo cha polisi chashambuliwa Somalia, 23 wauawa na kujeruhiwa
Jun 05, 2017 14:09Watu watatu wameuawa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa katika shambulizi la guruneti dhidi ya kituo cha polisi nchini Somalia mapema leo Jumatatu.
-
Maafisa polisi 7, raia 1 wauawa katika shambulizi la bomu Lamu, Kenya
May 31, 2017 15:00Maafisa saba wa polisi ya utawala wameuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa kando ya barabara katika kaunti ya Lamu, kusini mashariki mwa Kenya.
-
Misri: Kuna uwezekano tukashambuliwa tena na magaidi
May 29, 2017 04:01Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imesema kuwa, kuna uwezekano makundi ya kigaidi yakafanya tena mashambulizi nchini humo, hivyo imevitaka vikosi vya usalama kuchukua hatua kali za kiusalama kukabiliana na jambo hilo.
-
Shambulio la kigaidi nchini Misri
May 27, 2017 10:51Watu wasiopungua 28 waliuawa nchini Misri na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la jana Ijumaa dhidi ya mabasi mawili yaliyokuwa yamewabeba Wakristo wa Kibti kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Cairo.
-
Askari polisi 5 wa Kenya wauawa katika shambulizi la bomu
May 25, 2017 13:59Kwa akali maafisa watano wa polisi nchini Kenya wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea leo Alkhamisi eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Magaidi wa ISIS washambulia kambi ya wakimbizi Syria na kuua 36
May 03, 2017 03:45Kwa akali watu 36 wameuawa katika shambulizi la kigaidi dhidi ya kambi ya wakimbizi lililofanywa jana Jumanne na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Askari 8 wa Somalia wauawa katika shambulizi la bomu, Puntland
Apr 23, 2017 14:03Wanajeshi wanane wameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.