-
Polisi ya Ufaransa: Mtekelezaji wa shambulizi la Paris alikuwa mhalifu sugu
Apr 22, 2017 03:43Polisi ya Ufaransa imetangaza kuwa, mtu aliyehusika na shambulizi la jana mjini Paris alikuwa na historia ya uhalifu na kufungwa jela.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya mabasi huko Aleppo, Syria
Apr 16, 2017 04:43Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya mabomu dhidi ya mabasi yaliyokuwa yanawahamisha watu kutoka vijiji ambavyo aghalabu ya wakazi wake ni Waislamu wa madhehebu ya Shia huko katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Larijani: Lengo la makundi ya kigaidi ni kuzusha udini duniani
Apr 11, 2017 15:22Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya makanisa mawili nchini Misri siku ya Jumapili iliyopita ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa huku akisisitiza kuwa, lengo la magaidi ni kuzusha mifarakano ya kidini duniani.
-
Iran yalaani mashambulizi ya kigaidi dhidi ya Makanisa Misri
Apr 10, 2017 07:36Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya makanisa mawili nchini Misri hapo jana, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Watu 15 wauawa katika mlipuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Apr 09, 2017 14:22Watu wasiopungua 15 wameuawa baada ya bomu lililotegwa ndani ya gari kuripuka nje ya kambi ya jeshi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Wimbi la mlipuko wa mabomu dhidi ya makanisa laua makumi nchini Misri
Apr 09, 2017 13:57Watu wasiopungua 140 wameuawa na kujeruhiwa katika wimbi la mashambulizi ya mabomu yaliyolenga makanisa nchini Misri hii leo.
-
Watu kadhaa wauawa katika mripuko wa kigaidi Somalia
Apr 05, 2017 16:10Mripuko wa kigaidi ulioukumba mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, umeua watu kadhaa.
-
Rais Rouhani: Kutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa
Apr 04, 2017 16:16Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye treni ya chini ya ardhi katika mji wa St. Petersburg nchini Russia na kusisitiza kuwa kuutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza akiri udhaifu wa vyombo vya usalama nchini humo
Mar 24, 2017 04:34Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May Alkhamisi ya jana amehutubi Bunge la nchi hiyo na kukiri kuwa mtekelezaji wa hujuma ya kigaidi Jumatano iliyopita karibu na jengo la Bunge la nchi hiyo, alikuwa anajulikana katika vyombo vya usalama vya Uingereza.
-
Wimbi la mashambulizi ya kigaidi laua na kujeruhi 28 Maiduguri, Nigeria
Mar 22, 2017 16:06Kwa akali watu wanane wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika wimbi la hujuma za kigaidi lililoutikisa mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria mapema leo.