-
Miripuko mitatu yaua watu kadhaa karibu na mji wa Maiduguri, Nigeria
Mar 19, 2017 16:30Hali ya taharuki imeukumba mji wa Maiduguri, kufuatia miripuko mitatu ya kigaidi iliyotokea karibu na mji huo na kuua watu kadhaa na wengne kujeruhiwa.
-
Watu 8 wauawa, katika mripuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Mar 13, 2017 14:26Polisi ya Mogadishu, mji mkuu wa Somalia imetangaza habari ya kuuawa watu wanane katika mripuko wa bomu uliotokea leo mjini humo.
-
Iran, Hizbullah zalaani hujuma ya kigaidi mjini Damascus
Mar 12, 2017 07:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika jana Jumamosi katika mji wa Damascus nchini Syria, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Watu kadhaa wauawa katika miripuko Maiduguri, Nigeria
Mar 04, 2017 07:42Polisi nchini Nigeria imesema watu kadhaa waliuawa katika wimbi la mashambulizi ya mabomu katika mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo jana Ijumaa.
-
Jumatatu, Januari 20, 2017
Feb 20, 2017 02:49Leo ni Jumatatu tarehe 22 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1438 Hijria sawa na Februari 20, 2017 Milaadia.
-
Iran yalaani mauaji ya watu 80 katika Haram ya Sufi nchini Pakistan
Feb 17, 2017 14:59Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana Alkhamisi katika mkoa wa Sindh nchini Pakistan, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada
Jan 30, 2017 07:38Kwa akali watu watano wameuawa katika hujuma ya kikatili dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada usiku wa kuamkia leo.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi Uturuki, idadi ya waliouawa yaongezeka
Jan 01, 2017 08:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa Istanbul nchini Uturuki.
-
70 wauawa, kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi Instabul, Uturuki
Jan 01, 2017 04:38Makumi ya watu wanaripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika klabu moja ya anasa mjini Instabul nchini Uturuki.
-
Watu sita wauawa katika shambulio la kigaidi Somalia
Dec 28, 2016 14:41Watu sita wameuawa katika shambulio lililofanywa leo na wanamgambo wenye mfungamano na kundi la kigaidi la al Shabab.