-
Ijumaa, tarehe 21 Machi, mwaka 2025
Mar 20, 2025 23:57Leo ni Ijumaa tarehe 20 Ramadhani 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 21 Machi mwaka 2025.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani imekosea katika kuamiliana na Iran na pia inafanya makosa katika eneo
Mar 21, 2021 13:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu kutoaminika Marekani katika masuala mbali mbali likiwemo suala la mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kuongeza kuwa, Wamarekani wamekosea katika mauamala wao na Iran na pia wanakosea kwa ujumla katika masuala ya eneo la Asia Magharibi.
-
Wanadiplomasia Tehran washiriki katika sherehe za mwaka mpya wa Kiirani, Nowruz
Mar 16, 2021 04:34Mabalozi na wawakilishi wa zaidi ya nchi 80 na pia wawakilishi wa taasisi za kimataifia nchini Iran wameshiriki katika maadhimisho ya mwaka mpya wa Kiirani Nowruz ambao unatazamiwa kuanza Machi 21.
-
Kiongozi Muadhamu: Katika kadhia ya JCPOA, Wazungu wametupiga jambia kwa nyuma
Mar 22, 2019 12:28Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia, jana Alkhamisi jioni alitoa hotuba muhimu sana iliyozingatia masuala mbalimbali Ukiwemo msimamo wa Wamagharibi kuhusu Iran mbele ya mjumuiko mkubwa na uliojaa hamasa wa wafanyaziara na majiran wa Haram ya Imam Ridha AS mjini Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.
-
Mwaka mpya katika matazamio ya ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi
Mar 21, 2019 09:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1398 Hijria Shamsia, na kuupa mwaka huo mpya jina la mwaka wa "Kustawi Uzalishaji."
-
Kiongozi Muadhamu autangaza Mwaka 1398 Shamsiya kuwa mwaka wa "kustawi uzalishaji"
Mar 21, 2019 00:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe kwa munasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1398 Hijiria Shamsia, ametuma salamu za pongezi za Nowuruz (Nairuzi) na pia salamu kwa munasaba wa Wilada ya Imam Ali AS kwa wananchi wa Iran na hasa familia za mashahidi na majeruhi wa vita na amelitakia taifa la Iran mwaka wenye furaha, saada, afya ya kimwili na mafanikio ya kimaada na kimaanawi na ameutaja mwaka mpya kuwa mwaka wa "kustawi uzalishaji".
-
Nairuzi katika picha
Mar 31, 2018 10:10Nairuzi ni sherehe za kale na za muda mrefu ambazo matawi yake yameenea katika kona mbalimbali za dunia hadi Afrika Mashariki.
-
Rais Rouhani: Umoja wa taifa la Iran umewashangaza maadui
Mar 21, 2018 01:03Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe wa mwaka mpya wa 1397 Hijria Shamsia akisema kuwa, mwaka uliomalizika wa 1396 ulikuwa mwaka wa mafanikio na ushindi wa taifa kubwa la Iran katika nyanja mbalimbali licha ya njama zote za wanaoitakia mabaya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Mwaka 1397 hijria shamsia, mwaka wa "kuunga mkono bidhaa za Iran"
Mar 20, 2018 13:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, ameutangaza mwaka mpya wa 1397 hijria shamsia kuwa mwaka wa "kuunga mkono bidhaa za Iran".
-
Historia fupi, mila na desturi za Nairuzi kwa muhtasari
Mar 19, 2018 22:54Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Jumatano ya tarehe 21 Machi mwaka huu wa 2018 inasadifiana na kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia.