-
Alhamisi, 18 Septemba, 2025
Sep 18, 2025 03:46Leo ni Alhamisi tarehe 25 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 18, 2025.
-
Jumatano, tarehe 18 Septemba, 2024
Sep 18, 2024 02:16Leo ni Jumatano tarehe 14 Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na tarehe 18 Septemba 2024.
-
Afisa wa zamani wa CIA: Mauaji ya Haniyeh yamefanyika kwa msaada wa Marekani na Uingereza
Aug 03, 2024 04:28Larry C. Johnson, afisa mstaafu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA), amesema kuwa mauaji yalioyofanywa na Israel dhidi ya Ismail Haniyeh, mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, yamevuka mstari mwekundu na kuongeza kuwa mauaji hayo yametekelezwa kwa taarifa na msaada wa Uingereza na Marekani.
-
Jumatatu, tarehe 18 Septemba, 2023
Sep 18, 2023 02:37Leo ni Jumatatu tarehe Pili Rabiul Awwal 1445 Hijria sawa na tarehe 18 Septemba 2023.
-
Jumapili tarehe 18 Septemba 2022
Sep 18, 2022 02:17Leo ni Jumapili tarehe 21 Safar 1444 Hijria sawa na Septemba 18 mwaka 2022.
-
Jumamosi, 5 Februari, 2022
Feb 05, 2022 04:45Leo ni Jumamosi tarehe 3 ya mwezi Rajab 1443 Hijria mwafaka na tarehe 5 Februari 2022.
-
Waislamu Marekani watoa wito wa kukomeshwa ujasusi dhidi ya jamii yao
Dec 31, 2021 08:18Kundi kubwa la kutetea haki za Waislamu nchini Marekani limetoa wito wa kusitishwa ujasusi unaofanya dhidi ya jamii ya wafuasi wa dini hiyo na kuchukuliwa hatua kali kwa wahusika wa vitendo hiyo.
-
Jumamosi, 18 Septemba 2021
Sep 18, 2021 03:09Leo ni Jumamosi tarehe 11 Mfunguo Tano Safar 1443 Hijria, ambayo inasadifiana na tarehe 18 Septemba 2021 Miladia.
-
Alkhamisi, 4 Februari, 2021
Feb 04, 2021 02:44Leo ni Alkhamisi tarehe 21 Mfunguo Tisa Jamadithani mwaka 1442 Hijria mwafaka na tarehe Nne Februari 2021 Miladia.
-
Mbunge: Baadhi ya wakaguzi wa IAEA nchini Iran walikuwa wakiifanyia ujasusi CIA
Dec 02, 2020 02:31Mjumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge la Iran amesema idadi kubwa ya wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA waliokuwako hapa nchini walikuwa majasusi na walilipatia Shirika la Ujasusi la Marekani CIA taarifa za wanasayansi wa Iran.