-
Amnesty International: Mauaji ya kimbari yanafanyika Gaza
Jul 28, 2025 02:42Agnes Calamard Mkuu wa Shirika la Amnsety International Jumamosi usiku alirusha puto la hewa moto katika anga ya Paris ambalo juu yake aliandika maneno yanayosomeka: "Mauaji ya kimbari yanaendelea huko Gaza. Sitisha mauaji hayo."
-
Amnesty International: Netanyahu anapaswa kukamatwa na kupelekwa The Hague
Apr 02, 2025 03:06Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, mwaliko wa Hungary kwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuzuru nchi hiyo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa, na Budapest inapaswa kumkamata na kumkabidhi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Amnesty: Hatua ya Marekani ya kumkaribisha Netanyahu ni kudharau haki na uadilifu wa kimataifa
Feb 05, 2025 06:59Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limelaani kitendo cha Marekani cha kumpokea waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu.
-
Amnesty International: Marekani mshirika wa Israel katika mauaji ya kimbari Palestina
Jul 25, 2024 07:11Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International imeonya Marekani kuhusu kuupa silaha utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza na kutangaza kuwa, Washington ni mshirika wa utawala huo katika mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Ukosoaji wa Amnesty International kwa njama za Marekani za kuficha jinai za Israel Gaza
Apr 27, 2024 02:35Agnes Callamard, Katibu Mkuu wa Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International, ameonya kuhusu kuendelea kwa ukiukaji wa haki za binadamu huko Gaza na kutangaza kuwa: Marekani inazuia kutuhumiwa Israel kwa kukiuka haki za binadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Ripoti ya Amnesty: Inayamkinika Israel imefanya uhalifu wa kivita Rafah
Feb 13, 2024 07:36Amnesty International ya Uingereza imefichua ushahidi wa "mashambulizi yasiyokubalika kisheria" ya mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika mji wa Rafah, Gaza, na kueleza kwamba jeshi la utawala huo limetenda uhalifu wa kivita na ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa za kibinadamu wakati wa mashambulizi ya kikatili katika eneo hilo.
-
Amnesty International yalaani kimya cha Wamagharibi kwa jinai za Israel dhidi ya wakazi wa Gaza
Nov 13, 2023 02:53Katibu Mkuu wa Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International amelaani kimya cha nchi za Magharibi kuhusiana na jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Amnesty International yataka kuondolewa mzingiro Ghaza
Oct 18, 2023 06:02Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limetaka kuondolewa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Amnesty International yakosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi katika uwanja wa haki za binadamu
Mar 29, 2023 10:20Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali misimamo ya undumakuwili na ya kinafiki ya nchi za Magharibi katika kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu katika nchi zinazopinga sera za nchi za Magharibi na kulegeza msimamo laini wa nchi hizo kwa baadhi ya washirika wao ukiwemo utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Amnesty: Vita vya Russia na Ukraine vimeanika undumakuwili uliopo katika haki za binadamu
Mar 28, 2023 09:42Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza katika ripoti yake mpya kuwa kuvamiwa Ukraine na Russia kumeanika undumilakuwili na unafiki uliopo kuhusu haki za binadamu katika uga wa kimataifa, kutokana na jinsi Magharibi ilivyochukua msimamo mkali dhidi ya Russia na kuonyesha "kimya cha uziwi" kwa ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika katika pembe zingine za dunia.