-
UNICEF: Israel imeuwa watoto 37 wa Kipalestina katika mashambulizi Gaza mwaka huu
Feb 08, 2026 05:42Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeeleza kuwa watoto wa Kipalestinan wasiopungua 37wameuawa katika mashambuliiz ya Israel huko Gaza tangu kuanza mwaka huu wa 2026.
-
Alkhamisi, Disemba 11, 2025
Dec 10, 2025 23:05Leo ni Alkhamisi 20 Mfunguo Tisa Jumadithani 1447 Hijria sawa na Disemba 11 mwaka 2025 Milaadia.
-
UNICEF: Machafuko na njaa vinatishia maisha ya maelfu ya watoto wa Sudan
Mar 28, 2025 23:41Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa, ghasia na njaa vinatishia maisha ya watoto wa Sudan hususan katika mzozo wa jimbo la Darfur Kaskazini.
-
Jumatano, tarehe 11 Disemba, 2024
Dec 10, 2024 23:15Leo ni Jumatano tarehe 09 Jumadithani 1446 Hijria sawa na tarehe 11 Disemba 2024.
-
UNICEF: Watoto wa Ghaza wako taabani kwa kula nyasi
Apr 12, 2024 22:45Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF amesema, ameshuhudia kwa macho yake mtoto aliye taabani baada ya kula nyasi kutokana na njaa inayokabili mamia ya maelfu ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
UNICEF: Idadi ya watoto Wapalestina waliouliwa na Israel Ukingo wa Magharibi pia haijawahi kushuhudiwa
Dec 29, 2023 05:57Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF kanda ya Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini amesema, idadi ya watoto Wapalestina waliouliwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mwaka huu huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Baitul Muqaddas Mashariki ni kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa kwa kila mwaka katika eneo hilo.
-
Jumatatu, tarehe 11 Disemba, 2023
Dec 10, 2023 23:17Leo ni Jumatatu tarehe 27 Jumadil Awwal 1445 Hijria sawa na tarehe 11 Disemba 2023.
-
UNICEF: Watoto milioni 3.7 walioathirika na zilzala Syria wana hali mbaya
Mar 03, 2023 04:15Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF amesema, watoto milioni 3.7 ambao walinusurika na matetemeko ya ardhi ya tarehe 6 Februari mwaka huu katika maeneo yaliyoathirika nchini Syria wanakabiliwa na ongezeko la vitisho kadhaa vya zahma kubwa.
-
UNICEF yaonya kuhusu hali mbaya ya binadamu nchini Afghanistan
Feb 08, 2023 23:13Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya kushadidi mgogoro wa binadamu nchini Afghanistan.
-
Jumapili tarehe 11 Disemba 2022
Dec 10, 2022 23:00Leo ni Jumapili tarehe 15 Jumadil Awwal 1444 Hijria sawa na tarehe 11 Disemba 2022.