-
UNICEF: Watoto wenye utapiamlo hatarini kufa kwa magonjwa yatokanayo na uhaba wa maji
Aug 23, 2022 03:36Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema watoto walioko katika Pembe ya Afrika na Ukanda wa Sahel wanaweza kufa kwa idadi kubwa iwapo hawatapata misaada ya kibinadamu kwa haraka kwa kuwa tayari watoto hao wanakabiliwa na utapiamlo mkali na sasa wapo hatarini kupata magonjwa yaenezwayo na maji.
-
UNICEF: Watoto milioni 8 hatarini kufariki dunia kutokana na uzito mdogo
Jun 24, 2022 03:17Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF limeonya kuwa, takriban watoto milioni nane walio na umri wa chini ya miaka mitano katika nchi 15 zinazokabiliwa na majanga wako katika hatari ya kifo kutokana na uzito mdogo kupindukia endapo hawatapata haraka matibabu ya lishe na huduma zinazotakiwa.
-
Jumamosi, 11 Disemba, 2021
Dec 10, 2021 23:13Leo ni Jumamosi tarehe 6 Mfunguo Nane Jamadil-Awwal 1443 Hijria sawa na tarehe 11 Disemba 2021.
-
UNICEF yataka shule zilizofungwa kwa corona zifunguliwe kote ulimwenguni
Sep 16, 2021 07:47Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) limezitaka mamlaka zinazohusika na elimu katika kona zote za dunia zihakikishe kuwa zinafungua haraka shule zilizokuwa zimefungwa kutokana na UVIKO-19.
-
UNICEF yatoa ripoti ya kusikitisha kuhusu mateso ya watoto wakimbizi
May 06, 2020 20:10Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetoa ripoti ya kusikitisha ya mwaka 2019 kuhusu hali mbaya na mateso ya watoto wasio na makazi kutokana na mapigano katika maeneo tofauti duniani.
-
UNICEF: Watoto 7,300 wameuawa nchini Yemen tokea 2015
May 16, 2019 22:00Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto wapatao 7,300 wameuawa nchini Yemen katika vita na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake tokea mwaka 2015 hadi sasa.
-
Jumanne, Disemba 11, 2018
Dec 10, 2018 23:04Leo ni Jumanne tarehe 3 Rabiuthani 1440 Hijria sawa na Disemba 11, 2018.
-
Indhari ya Unicef kuhusu hali mbaya ya watoto wa Afghanistan
Nov 28, 2018 04:09Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umeonya kuhusu kuendelea kuwa mbaya hali ya watoto wa Afghanistan, ambao wanakodolewa macho na ghasia na umwagaji damu kila uchao.
-
UN: Mapigano Libya yawaweka watoto laki 5 katika hatari kubwa
Sep 25, 2018 04:28Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umetadharisha kuwa, watoto laki tano wapo katika hatari kubwa ya kupoteza maisha kutokana na mapigano yaliyoshtadi katika mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Unicef: Katika kila dakika 3, binti mmoja anaambukizwa virusi vya HIV
Jul 26, 2018 03:11Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema mabinti na wanawake wenye umri kati ya miaka 15 na 19 wanajenga thuluthi mbili ya watu walioambukizwa virusi hatari vya HIV mwaka jana 2017.