-
UNICEF yataka watoto wanaotumia intaneti walindwe
Dec 13, 2017 03:55Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linasema wakati fursa ya matumizi ya mtandao wa intaneti ikiongezeka ni lazima dunia hii ya kidijitali iyafanye matumizi hayo kuwa salama kwa watoto ili yaweze kunufaisha hasa wale walio katika hatari zaidi.
-
Jumatatu 11 Disemba, 2017
Dec 11, 2017 03:35Leo ni Jumatatu tarehe 22 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe 11 Disemba mwaka 2017.
-
UNICEF: Watoto 18 wanaambukizwa HIV/Ukimwi kwa kila saa moja
Dec 01, 2017 07:52Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto 18 huambukizwa virusi vya HIV katika kila saa moja kote duniani, ishara kwamba jitihada za makusudi zingali zinahitajika kuzuia maambukizi ya virusi hivyo vinavyosababisha ugonjwa hatari wa Ukimwi miongoni mwa vijana na watoto wadogo.
-
UNICEF: Mashambulio ya Boko Haram kwa kutumia watoto wanaojiripua yameongezeka mara nne
Aug 23, 2017 03:47Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa kuhudumia watoto UNICEF umetangaza kuwa idadi ya watoto wanaotumiwa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria kufanya mashambulio ya kujitoa mhanga imeongezeka mara nne mwaka huu kulinganisha na mwaka uliopita wa 2016.
-
Watoto laki 4 katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa Nigeria
Dec 14, 2016 14:17Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa mamia ya maelfu ya watoto nchini Nigeria wako katika hatari ya kuaga dunia kutokana na vita, njaa na lishe duni.
-
Jumapili 11 Disemba, 2016
Dec 11, 2016 08:17Leo Jumapili tarehe 11 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na Disemba 11, 2016.
-
UNICEF: Maisha ya watoto milioni 300 yako hatarini kutokana na kuzidi kuchafuka hali ya hewa duniani
Oct 31, 2016 07:36Moja ya saba ya watoto duniani wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na hali chafu mno ya hewa.
-
UNICEF: Wasichana wanatumia saa milioni 160 zaidi kufanya kazi za nyumbani
Oct 08, 2016 08:11Wasichana wenye umri wa kati ya miaka 5 na 14 wanatumia asilimia 40 zaidi ya muda au saa milioni 160 kwa siku kufanya kazi za nyumbani zisizo na malipo kote duniani.
-
Wasiwasi wa Unicef kuhusu hali ya watoto katika eneo la Ziwa Chad
Sep 01, 2016 15:48Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umezitolea mwito taasisi za kimataifa kuwasaidia wahanga wa mashambulizi ya kundi la Boko Haram katika eneo la Ziwa Chad.
-
UNICEF: Vita vimesababisha maafa kwa watoto wa Iraq
Jun 30, 2016 14:49Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuwa watoto milioni tatu na laki sita wa Iraq wanakabiliwa na hatari kubwa ya kifo, kujeruhiwa, ukatili wa kingono, kutekwa nyara na kutumikishwa kama wapiganaji kwenye makundi yanayobeba silaha.