Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

silaha

  • Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Uingereza  wazidi kulalamikiwa kimataifa

    Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Uingereza wazidi kulalamikiwa kimataifa

    Jul 12, 2017 03:02

    Taasisi za kutetea haki za binadamu nchini Uingereza zimekosoa kuendelea mchakato wa kuiuzia silaha Saudi Arabia ili izitumie katika mashambulizi yake dhidi ya raia wa Yemen wasio na hatia.

  • Syria yagundua ghala kubwa la silaha za Israel katika maficho ya magaidi mkoani Homs

    Syria yagundua ghala kubwa la silaha za Israel katika maficho ya magaidi mkoani Homs

    Jun 29, 2017 10:51

    Jeshi la Syria limegundua ghala kubwa la silaha za kila namna za utawala wa Kizayuni wa Israel katika maficho ya magaidi kwenye wilaya ya al Wa'er mkoani Homs.

  • Kuongeza mashambulizi ya silaha Marekani, watu 71 waliuawa Jumanne pekee

    Kuongeza mashambulizi ya silaha Marekani, watu 71 waliuawa Jumanne pekee

    May 31, 2017 23:46

    Katika matukio 82 ya mashambulizi ya silaha za moto nchini Marekani yaliyojiri siku ya Jumanne pekee katika majimbo tofauti nchini humo kwa akali watu 71 wameuawa na wengine 53 kujeruhiwa.

  • Saudia mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha za Marekani, Israel mpokezi mkubwa zaidi wa misaada ya kijeshi ya Marekani

    Saudia mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha za Marekani, Israel mpokezi mkubwa zaidi wa misaada ya kijeshi ya Marekani

    May 23, 2017 02:33

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umebainisha wasiwasi wake kuhusu Marekani kuiuzia Saudi Arabia silaha zenye kugharimu mabilioni ya dola katika hali ambayo Israel yenyewe inapokea misaada ya silaha za kisasa zaidi kutoka Marekani.

  • Seneta wa US akosoa mauzo ya silaha kwa Saudia kwa dola bilioni 110

    Seneta wa US akosoa mauzo ya silaha kwa Saudia kwa dola bilioni 110

    May 21, 2017 23:32

    Seneta mmoja wa chama cha Democratic nchini Marekani amekosoa vikali hatua ya Washington kusaini makubaliano ya mauzo ya silaha yenye thamani ya dola bilioni 110 za Marekani kwa Saudi Arabia, licha ya kufahamu fika kuwa silaha hizo zinatumiwa na watawala Riyadh kuwaua raia wa Yemen.

  • UN yaituhumu Ukraine kuwa inatuma silaha Sudan Kusini

    UN yaituhumu Ukraine kuwa inatuma silaha Sudan Kusini

    May 15, 2017 03:02

    Umoja wa Mataifa umeituhumu Ukraine kuwa imekiuka vikwazo vya kimataifa dhidi ya Sudan Kusini kwa kuiuzia nchi hiyo ya Afrika silaha.

  • Ufilipino yaitaka Marekani iache kuingiza silaha zake nchini humo

    Ufilipino yaitaka Marekani iache kuingiza silaha zake nchini humo

    Jan 30, 2017 04:22

    Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema Marekani inahatarisha usalama wa eneo kwa kuendelea kurundika silaha zake katika nchi hiyo.

  • Umoja wa Mataifa wakataa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini

    Umoja wa Mataifa wakataa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini

    Dec 23, 2016 23:39

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepinga wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini, ambayo inashuhudia mapigano kwa mwaka wa nne sasa.

  • Saudia: Marekani haijapunguza mauzo ya silaha zake kwetu

    Saudia: Marekani haijapunguza mauzo ya silaha zake kwetu

    Dec 19, 2016 04:04

    Adel al-Jubeir, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amekanusha madai kuwa Marekani imepunguza kiwango cha uuzaji silaha kwa serikali ya Riyadh kutokana na hujuma za utawala huo wa kifalme nchini Yemen.

  • Amnesty yaitaka Uhispania iache kuiuzia Saudia meli za kivita

    Amnesty yaitaka Uhispania iache kuiuzia Saudia meli za kivita

    Nov 12, 2016 04:19

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Uhispania iache kuiuzia Saudi Arabia manowari za kijeshi na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Ulaya inapaswa kusitisha mauzo hayo kwa kuwa yumkini meli hizo za kivita zikatumika dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS