-
OIC yaziomba nchi zote duniani zisiuuzie silaha utawala wa Kizayuni wa Israel
Feb 27, 2024 07:50Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amezitaka nchi zote duniani kuacha kutuma silaha na zana za kijeshi kwa utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel.
-
Mashirika ya kiraia Uhispania yataka kusitishwa biashara ya silaha na Israel
Dec 21, 2023 07:53Wanaharakati kutoka mamia ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini Uhispania wamefanya maandamano na kukusanyika nje ya Bunge la nchi hiyo wakiitaka serikali yao isimamishe bishara ya silaha na utawala haramu wa Israel.
-
Ndege isiyo na rubani ya Karrar yazifukuza ndege za Marekani katika anga ya Iran
Sep 04, 2023 00:43Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Iran amesema ndege isiyo na rubani ya Karrar imezionya mara kadhaa ndege za ujasusi za Marekani na ndege nyingine za kigeni na kuzitaka kuwa mbali na anga ya Iran.
-
Jarida la Wall Street: Imarati imetuma silaha kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko Sudan
Aug 11, 2023 04:26Jarida la Kimarekani la Wall Street Journal limefichua katika ripoti yake kwamba Umoja wa Falme za Kiarabu unatoa misaada ya kijeshi kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), vinavyopigana na jeshi la Sudan kwa miezi kadhaa sasa.
-
Iran: Marekani inafanya hima kurefusha vita vya Ukraine
Jul 09, 2023 07:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mpango wa Marekani wa kutuma nchini Ukraine mabomu 'yaliyopigwa marufuku ya vishada na kusisitiza kuwa, Washington inafanya kila iwezalo ili kuhakikisha kuwa vita vya Ukraine havimaliziki haraka.
-
Kampuni za silaha za US zashtakiwa kwa jinai za kivita Yemen
Mar 08, 2023 23:04Mashirika ya kuzalisha silaha ya Marekani yamefunguliwa mashitaka yakituhumiwa kusaidia na kuwa 'mshiriki' wa jinai za kivita nchini Yemen.
-
Nchi 90 zinataka kupokea ndege zisizo na rubani (droni) za Iran
Feb 09, 2023 09:48Mshauri wa Waziri wa Intelijensia wa Iran amesema nchi zipatazo 90 duniani zina hamu ya kupokea ndege zisizo na rubani (droni) za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yajibu uropokaji wa Macron, yamtaka azungumzie silaha za nyuklia za Israel
Feb 03, 2023 23:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa matamshi ghalati ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliyedai katika mazungumzo yake na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kuwa, eti Paris inatiwa wasiwasi na shughuli za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Uingereza yakiri, silaha zinazopelekwa Ukraine kutwaliwa na magaidi
Nov 21, 2022 07:32Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kitaifa wa Jinai nchini Uingereza (NCA) amesema silaha zinazopelekwa Ukraine na nchi za Magharibi yumkini zikafanyiwa magendo na kuishia mikononi mwa magenge ya wahalifu na magaidi katika kona mbalimbali za dunia.
-
Mauzo ya silaha za Marekani yaongezeka katika utawala wa Biden
Sep 09, 2022 21:53Marekani imeendelea kushika nafasi ya kwanza duniani kwa kutumia fedha nyingi kwa ajili ya bajeti ya masuala ya kijeshi, huku mauzo ya silaha za nchi hiyo yakiongezeka mno katika utawala wa Rais Joe Biden.