-
Kamanda wa ngazi za juu wa al-Shabaab auawa na jeshi la Somalia
Nov 02, 2020 00:56Serikali ya Somalia imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kumuangamiza kamanda wa ngazi za juu wa wanamgambo wa kundi la al-Shabaab, kusini mwa nchi hiyo.
-
UN: Mafuriko yameua watu 35 nchini Somalia, milioni 1.6 wameathiriwa
Oct 29, 2020 03:36Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kupoteza maisha watu 35 nchini Somalia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha nchini humo.
-
Majeshi ya Jubaland na Kenya yatibua shambulio la al-Shabaab Somalia
Oct 28, 2020 04:25Askari wa Kikosi Maalumu cha Jubaland wakishirikiana na askari wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamefanikiwa kuzima shambulizi la kigaidi la kundi la wanamgambo wa al-Shabaab katika eneo la Lower Jubba, kusini mwa Somalia.
-
Al-Shabaab inakusanya ushuru mkubwa zaidi ya serikali ya Somalia
Oct 28, 2020 01:08Ripoti mpya imefichua kuwa, kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab linakusanya kodi na ushuru mkubwa hata zaidi ya ule unaokusanywa na serikali ya Somalia.
-
Jumatano tarehe 21 Oktoba 2020
Oct 20, 2020 23:00Leo ni Jumatano tarehe 4 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria inayosadifiana na Oktoba 21 mwaka 2020.
-
Kubuniwa baraza jipya la mawaziri Somalia
Oct 20, 2020 08:25Waziri Mkuu wa Somalia ametangaza habari ya kubuniwa baraza jipya la mawaziri la nchi hiyo ambapo baadhi ya mawaziri wa zamani wamejumuishwa.
-
Makumi wauawa Somalia katika mapigano ya wanajeshi na magaidi wa al Shabab
Oct 16, 2020 10:16Makumi ya wanajeshi na magaidi wameuawa katika mapigano ya siku mbili baina ya askari wa jeshi la serikali ya Somalia na magaidi wa kundi la al Shabab kaskazini magharibi mwa mji mkuu, Mogadishu.
-
Wanajeshi 13 wa Somalia wauawa katika makabiliano na al-Shabaab
Oct 15, 2020 23:40Kwa akali askari 13 wa Jeshi la Taifa la Somalia wameuawa katika makabiliano makali baina yao na wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab karibu na wilaya ya Afgoye, kaskazini magharibi mwa mji mkuu, Mogadishu.
-
Magaidi kadhaa wa al-Shabaab wauawa kusini mwa Somalia
Oct 11, 2020 08:38Wanachama watano wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia katika mji wa Dinsor, eneo la Bay kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Somalia, Cuba zakanusha madai ya kuachiwa huru madaktari waliotekwa na al-Shabaab
Oct 08, 2020 23:07Serikali za Somalia na Cuba zimekanusha madai ya kuachiwa huru madaktari wawili wa Cuba waliotekwa nyara na kundi la kigaidi la al-Shabaab mwaka jana nchini Kenya.