-
Kenya na Somalia zaendelea kuvutana, Mogadishu yafuta mikutano ya Nairobi
May 27, 2019 02:51Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kushtadi mvutano kati ya Kenya na Somalia, serikali ya Mogadishu imejibu mapigo na kufuta mikutano yake iliyotazamiwa kufanyika jijini Nairobi.
-
Kenya yasema haina mvutano wa kidiplomasia na Somalia
May 24, 2019 02:47Serikali ya Kenya imekanusha tetesi kuwa kuna mvutano wa kidiplomasia na nchi jirani ya Somalia.
-
UN yahitaji zaidi ya dola milioni 700 kuwasaidia Wasomali wanaokumbwa na njaa
May 22, 2019 23:28Mashirika ya misaada ya kibinadamu yamezindua ombi la kukabiliana na ukame la dola milioni 710 kwa ajili ya msaada wa dharura wa kuwasaidia watu milioni 4.5 wanaothriwa na ukame nchini Somalia kwa kipindi kinachoanzia sasa hadi mwezi Disemba.
-
UN: Somalia imepiga hatua, lakini ipambane na ugaidi na ufisadi
May 21, 2019 23:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema Somalia imepiga hatua kuelekea katika uundwaji wa dola thabiti, lakini bado ina kibarua cha kupambana na ugaidi, misimamo mikali ya kuchupa mipaka na ufisadi.
-
Kamanda mwingine mwandamizi wa al-Shabaab ajisilimisha kwa serikali Somalia
May 20, 2019 02:50Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kuparaganyika kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab, kamanda mwingine mwandamizi wa kundi hilo la ukufurishaji la Somalia amejisalimisha kwa serikali.
-
UN yatahadahrisha kuwa magaidi wa Al Shabab wamebadilisha mbinu
May 19, 2019 03:26Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa magaidi wa kundi la Al Shabab sasa wamebadilisha mbinu zao ili kuwawezesha kutekeleza mashambulizi mengi na hatari zaidi.
-
UN: Wasomali milioni mbili wanakabiliwa na baa la njaa
May 16, 2019 05:24Ukame mkubwa unaoshuhudiwa nchini Somalia huenda ukasababisha njaa kwa watu milioni 2.2 ikiwa ni takriban asilimia 18 ya watu nchini humo katika kipindi cha mwezi Julai hadi Septemba.
-
Watu kadhaa wahofiwa kuuawa katika mripuko wa bomu Somalia
May 14, 2019 07:20Watu kadhaa wanahofiwa kuuawa katika mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa garini, nje ya jengo la serikali katika eneo lenye shughuli nyingi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Somalia yasambaratisha mtandao wa majasusi wa UAE
May 11, 2019 08:25Wakuu wa Somalia wametangaza kuusambaratisha mtandao wa majasusi ambao walikuwa wakiutumikia utawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Jeshi la Somalia laua magaidi 18 wa al Shabaab
May 10, 2019 03:24Jeshi la Somalia limetangaza kuwaua magaidi 18 wa al Shabaab katika mji wa Jilib uliopo mkoani Juba.