Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Magaidi 7 wa Al Shabab, akiwemo Mtanzania, waangamizwa katika mapigano Somalia

    Magaidi 7 wa Al Shabab, akiwemo Mtanzania, waangamizwa katika mapigano Somalia

    Jun 26, 2018 03:14

    Jeshi la Somalia limewaangamiza magaidi saba wa kundi la kigaidi la Al Shabab katika mapigano yaliyojiri katika eneo la Lower Juba kusini mwa nchi hiyo.

  • Mabaharia 17 wa Kiirani waliokamatwa Somalia waachiwa huru

    Mabaharia 17 wa Kiirani waliokamatwa Somalia waachiwa huru

    Jun 21, 2018 09:11

    Mabaharia 17 wa Kiirani waliokuwa wameingia kimakosa katika maji ya Somalia na kutiwa nguvuni mwishoni mwa mwaka jana 2017 wameachiwa huru na kurejea nchini.

  • Kimbunga cha Kitropiki kimeua watu 53 Somalia

    Kimbunga cha Kitropiki kimeua watu 53 Somalia

    Jun 15, 2018 10:45

    Shirika la Kuratibu Misaada ya Kibinadamu la Umoja wa Mataifa (OCHA) limesema watu wasiopungua 53 wamefariki dunia Somalia kufuatia kimbunga cha kitropiki kilichoikumba nchi hiyo hivi karibuni.

  • Watu 7 wafa maji katika ajali ya boti kusini mwa Somalia

    Watu 7 wafa maji katika ajali ya boti kusini mwa Somalia

    Jun 12, 2018 22:11

    Watu saba wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya boti yao kuzama katika Mto Shabelle, kusini mwa Somalia.

  • Magaidi wa al Shabab wajeruhi watu saba kusini mwa Somalia

    Magaidi wa al Shabab wajeruhi watu saba kusini mwa Somalia

    Jun 10, 2018 03:25

    Afisa mmoja wa jeshi la Somalia ametangaza habari ya kujeruhiwa watu saba katika shambulio la kujiripua kwa mabomu lililofanywa na gaidi mmoja wa al Shabab katika kambi moja ya kijeshi iliyoko kusini mwa nchi hiyo, usiku wa kuamkia leo.

  • Askari 5 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia

    Askari 5 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia

    Jun 09, 2018 03:35

    Askari mmoja wa Marekani ameuawa huku wengine wanne wakijeruhiwa katika operesheni ya pamoja ya vikosi vya US na askari wa Umoja wa Afrika dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.

  • Al-Shabaab yateka mji wa kistratajia Somalia na kufunga viwanja 30 vya michezo

    Al-Shabaab yateka mji wa kistratajia Somalia na kufunga viwanja 30 vya michezo

    Jun 08, 2018 03:28

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab limeteka mji moja wa kiistratajia karibu na eneo la Baidoa sambamba na kufunga viwanja zadi ya 30 vya michezo katika mji kuu Mogadishu.

  • UN yaunga mkono juhudi za kuleta utulivu Somalia

    UN yaunga mkono juhudi za kuleta utulivu Somalia

    Jun 08, 2018 00:05

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi wake kutokana na kuongezeka ukosefu wa usalama na hali mbaya ya kibinadamu nchini Somalia na kusisitiza kuwa inaunga mkono juhudi za kuleta utulivu katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika iliyoharibiwa vibaya na vita vya ndani.

  • Wabunge wawili wauawa Somalia katika shambulizi la al-Shabaab

    Wabunge wawili wauawa Somalia katika shambulizi la al-Shabaab

    Jun 05, 2018 22:24

    Wabunge wawili wa eneo lenye mamlaka ya ndani la Hirshabelle nchini Somalia wameripotiwa kuuawa katika shambulizi la kuvizia la kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab, karibu na mji mkuu Mogadishu.

  • Kundi la kigaidi la al-Shabaab lateka mji wa Moqokori, ladai kuua askari 47 wa Somalia

    Kundi la kigaidi la al-Shabaab lateka mji wa Moqokori, ladai kuua askari 47 wa Somalia

    Jun 02, 2018 23:08

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeuteka mji mmoja ulioko katikati mwa Somalia, mwezi mmoja baada ya vikosi vya usalama kuondoka mjini hapo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS