-
Somalia: Tumemuua kiongozi wa al-Shabaab, Shabelle ya Chini
May 07, 2017 09:00Siku mbili baada ya wanajeshi watatu wa Marekani kuuawa na kujeruhiwa na genge la al-Shabaab katika eneo la Barii, yapata maili 40 magharibi mwa mji wa Mogadishu, serikali ya Somalia imesema imefanikiwa kumuangamiza kamanda mkuu wa kundi hilo la kigaidi na kitakfiri katika eneo la Shabelle ya Chini.
-
Askari 3 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia
May 05, 2017 23:42Askari mmoja wa Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika operesheni ya pamoja ya US na jeshi la Somalia dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.
-
Waziri auawa 'kimakosa' mjini Mogadishu, Somalia
May 04, 2017 03:07Waziri wa Ujenzi na Ukarabati wa Somalia ameuawa kwa kupigwa risasi kimakosa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.
-
Watoto milioni 1.4 wanakabiliwa na utapiamlo wa kiwango cha juu Somalia
May 02, 2017 12:17Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa huenda watoto milioni 1.4 wa Somalia wakapoteza maisha kutokana na utapiamlo wa kiwango cha juu.
-
5 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Somalia
Apr 30, 2017 23:41Kwa akali watu wawili wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu la kuendeshwa kutokea mbali katika viunga vya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Mripuko wajeruhi watu wawili mjini Mogadishu, Somalia
Apr 29, 2017 11:01Duru za usalama nchini Somalia zimetangaza habari ya kutokea mripuko wa bomu mjini Mogadishu Somalia na kujeruhi watu wawili.
-
Magaidi wa Al-Shabab wamuua afisa mwandamizi wa usalama wa taifa Somalia
Apr 27, 2017 11:30Watu wenye silaha wanaoaminika kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi la Al-Shabab wamemuua kwa kumpiga risasi afisa mwandamizi wa usalama wa taifa wa serikali ya Somalia mbele ya nyumba yake katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.
-
UNICEF: Watoto elfu 30 wanahitaji chanjo ya haraka nchini Somalia
Apr 25, 2017 22:02Mjumbe wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) nchini Somalia amesisitizia udharura wa kupatiwa chanjo maelfu ya watoto kusini mwa nchi hiyo.
-
Askari 8 wa Somalia wauawa katika shambulizi la bomu, Puntland
Apr 23, 2017 09:33Wanajeshi wanane wameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Save the Children: Utapiamlo mkali unatia wasiwasi nchini Somalia
Apr 22, 2017 01:59Shirika la kimataifa la Save the Children limetangaza kuwa, kiwango cha utapiamlo mkali kinachoshuhudiwa nchini Somalia kinatia wasiwasi.