-
Spika wa Bunge asema: Zama za kuitishia Iran bila gharama zimeisha
Jun 04, 2026 11:24Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amesema Iran si tena shabaha ya vitisho rahisi vya maadui, akiongeza kuwa uzoefu wa vita viwili vya Marekani na Israel umeonyesha kwamba Iran ina uwezo wa kutoa majibu makali kwa uchokozi wa aina yoyote.
-
Qalibaf: Marekani ni lazima ilipe gharama za jinai za Israel Lebanon
Jun 02, 2026 03:01Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Mohammad Baqir Qalibaf ameilaani Marekani kwa kuhusika katika mashambulizi ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Lebanon na kueleza kuwa Washington lazima ilipe gharama ya jinai za kivita zinazofanywa na utawala huo ghasibu dhidi ya Lebanon.
-
Qalibaf: Iran haina imani na Marekani, haitasalimu amri kuhusu haki zake
May 24, 2026 03:30Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema kuwa Iran haina imani yoyote na Marekani na kwamba haitarudi nyuma kamwe katika kutetea haki zake za kitaifa wakati wa mazungumzo na Marekani yanayolenga kuhitimisha vita katika eneo lote la Asia Magharibi.
-
Spika wa Iran: Kambi za kijeshi za US ni tishio kwa nchi wenyeji wake
Mar 15, 2026 05:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Marekani imeitoa kafara kila nchi kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, na kwamba kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Asia Magharibi hazizipi ulinzi nchi wenyeji.
-
Ghalibaf: Hizbullah ipo hai na inaendelea na harakati zake
Oct 04, 2025 03:50Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesisitiza kuwa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ingali "hai na inafanya kazi zake kama kawaida", huku ikiungwa mkono na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Spika Qalibaf: Snapback ni batili, Iran itajibu mapigo
Sep 28, 2025 08:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad-Baqer Qalibaf amepinga uamilishaji wa utaratibu wa snapback wa kurejeshewa Iran vikwazo, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni kinyume cha sheria; huku akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haina wajibu wa kuheshimu uamuzi huo ulioshinikizwa na Troika ya Ulaya.
-
Qalibaf: Uhai wa utawala wa Kizayuni unategemea mauaji na jinai
Apr 29, 2025 08:52Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameyataja matamshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni hila isiyo na thamani inayolenga kuvuruga mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani na kusema: "Hata asilimia ndogo ya uchokozi dhidi ya Iran itatambuliwa kuwa ni sawa na kuwasha moto pipa la baruti ambalo litalipua katika eneo hili."
-
Spika: Mataifa yanayotegemea usalama kutoka nje yatafeli
Mar 02, 2025 08:56Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mustakabali wa nchi zinazotegemea mataifa mengine kwa ajili ya kudhaminiwa usalama na maendeleo ni kufeli na kugonga mwamba.
-
Iran: Tunapinga mpango wowote wa kufukuzwa Wapalestina Gaza
Feb 19, 2025 08:37Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesema kuwa Tehran inapinga vikali na kulaani mpango wowote unaokusudia kuwafurusha Wapalestina katika ardhi zao.
-
Spika Qalibaf: Hamas ipo hai, imeidhalilisha vibaya Israel
Jan 27, 2025 09:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameipongeza Harakati ya Muqawama ya Hamas na vikosi vya mapambano ya Kiislamu vya Palestina kwa ushindi wao mkabala wa utawala wa Kizayuni.