Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Wabunge wa Sudan wapinga ushirikiano wa jeshi la nchi hiyo na Saudia huko Yemen

    Wabunge wa Sudan wapinga ushirikiano wa jeshi la nchi hiyo na Saudia huko Yemen

    Oct 27, 2017 00:41

    Wabunge wa Sudan wamepinga ushirikiano wa jeshi la nchi hiyo na Saudi Arabia katika kuwaua raia na Waislamu wa Yemen.

  • Sudan: Mienendo ya Marekani inagongana na kupingana

    Sudan: Mienendo ya Marekani inagongana na kupingana

    Oct 21, 2017 13:30

    Serikali ya Sudan imeeleza masikitiko yake kwa hatua ya Marekani kuwataka raia wake kuchukua tahadhari kufanya safari ndani ya nchi hiyo ya Afrika na imesema kuwa, mienendo ya Washington ni yenye kupingana.

  • Serikali ya Sudan yafunga mipaka kwa ajili ya kukusanya silaha

    Serikali ya Sudan yafunga mipaka kwa ajili ya kukusanya silaha

    Oct 05, 2017 23:22

    Serikali ya Sudan imefunga mipaka ya nchi hiyo katika utekelezaji wa mpango wa kukusanya silaha na imewataka raia wa nchi hiyo kuisaidia katika mchakato huo.

  • Wanajeshi vamizi wa Sudan wapata pigo, mamia wauawa nchini Yemen + Picha

    Wanajeshi vamizi wa Sudan wapata pigo, mamia wauawa nchini Yemen + Picha

    Oct 01, 2017 00:29

    Toleo la mtandaoni la gazeti la al Akhbar la nchini Lebanon limetangaza habari ya kushindwa vibaya wanajeshi vamizi wa Sudan nchini Yemen. Kwa upande wake, mtandao wa habari wa Yemen Press umeandika kuwa, zaidi ya wanajeshi 400 wa Sudan wameshauawa hadi hivi sasa huko Yemen.

  • Mamia ya mamluki wa Saudia raia wa Sudan wauawa Yemen

    Mamia ya mamluki wa Saudia raia wa Sudan wauawa Yemen

    Sep 28, 2017 10:47

    Mkuu wa Kikosi cha Sudan kinachoshirikiana na muungano wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen amesema mamia ya mamluki wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wameuawa katika uvamizi wa muungano huo dhidi ya nchi hiyo maskini ya Kiarabu.

  • 19 wauawa katika mapigano kwenye mpaka wa Sudan na Libya

    19 wauawa katika mapigano kwenye mpaka wa Sudan na Libya

    Sep 23, 2017 01:04

    Habari kutoka nchini Sudan zinasema kuwa, watu 19 wameuawa katika mapigano yaliyotokea kwenye maeneo ya mpaka wa nchi hiyo na Libya.

  • Sudan yaitaka Marekani iondoe vikwazo dhidi yake

    Sudan yaitaka Marekani iondoe vikwazo dhidi yake

    Sep 19, 2017 03:15

    Rais wa Sudan ametaka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi yake.

  • Jeshi la Sudan lakanusha kushambulia waasi katika jimbo la Blue Nile

    Jeshi la Sudan lakanusha kushambulia waasi katika jimbo la Blue Nile

    Sep 17, 2017 09:25

    Jeshi la Sudan limekanusha kushambulia eneo la waasi katika jimbo la Blue Nile.

  • Sudan yaitupa mkono Saudia, sasa yakusudia kuimarisha zaidi mahusiano na Qatar

    Sudan yaitupa mkono Saudia, sasa yakusudia kuimarisha zaidi mahusiano na Qatar

    Sep 15, 2017 23:02

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan ameeleza kuwepo mazungumzo kati ya Sudan na Qatar kwa ajili ya kupanua zaidi mahusiano ya pande mbili.

  • Sudan yajiunga na nchi zilizosusia kikao cha Togo cha utawala wa Kizayuni na Afrika

    Sudan yajiunga na nchi zilizosusia kikao cha Togo cha utawala wa Kizayuni na Afrika

    Sep 06, 2017 11:50

    Makamu wa Rais wa Sudan ametangaza kuwa kutokana na kufungamana na malengo matukufu ya taifa la Palestina, nchi hiyo imesusia kushiriki kikao cha pamoja cha utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Afrika kilichopangwa kufanyika nchini Togo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS