Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Wapinzani nchini Sudan wailaumu vikali serikali

    Wapinzani nchini Sudan wailaumu vikali serikali

    Sep 02, 2017 11:16

    Mkuu wa chama cha National Umma Party cha Sudan amezikosoa vikali siasa za masuala ya kigeni za serikali ya Rais Omar al Bashir na kusema kuwa zimeigeuza Sudan kuwa kibaraka wa nchi nyingine.

  • Maulamaa Sudan wataka kufutwa kazi waziri anayetaka uhusiano na Wazayuni

    Maulamaa Sudan wataka kufutwa kazi waziri anayetaka uhusiano na Wazayuni

    Aug 26, 2017 22:10

    Jopo la Maulamaa wa Sudan limetaka kufutwa kazi waziri wa uwekezaji wa nchi hiyo kutokana na kutoa mwito wa kuweko uhusiano wa kawaida kati ya Sudan na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan

    Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan

    Aug 26, 2017 22:07

    Fayez al Sarraj Waziri Mkuu wa Libya anayeongoza serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo leo Jumapili anaelekea ziarani nchini Sudan.

  • Ahmad Bilal: Serikali ya Sudan inapinga kuwa na uhusiano na Israel

    Ahmad Bilal: Serikali ya Sudan inapinga kuwa na uhusiano na Israel

    Aug 24, 2017 03:14

    Waziri wa Habari wa Sudan ametangaza kuwa, serikali ya Khartoum inapinga kuanzishwa uhusiano baina yake na utawala wa Kizayuini wa Israel.

  • Makumi ya vivuko katika mpaka wa Sudan vimefungwa ili kuzuia magendo ya silaha

    Makumi ya vivuko katika mpaka wa Sudan vimefungwa ili kuzuia magendo ya silaha

    Aug 21, 2017 11:55

    Serikali ya Sudan imefunga vivuko 63 katika mpaka wa nchi hiyo na nchi jirani ili kuzuia kuingizwa silaha nchini humo.

  • Vyama 32 vya siasa barani Afrika vyakutana mjini Khartoum, Sudan

    Vyama 32 vya siasa barani Afrika vyakutana mjini Khartoum, Sudan

    Aug 20, 2017 12:12

    Wawakilishi wa vyama 32 vya siasa vya nchi za Afrika wamekutana katika mji mkuu wa Sudan Khartoum kujadili njia za kustawisha uhusiano wa kisiasa barani humo.

  • Wasudan wapinga kutumwa askari wa nchi hiyo kuua watu wa Yemen

    Wasudan wapinga kutumwa askari wa nchi hiyo kuua watu wa Yemen

    Aug 10, 2017 02:38

    Wananchi na vyama vingi vya siasa nchini Sudan vimepinga na kulaani hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kutuma kundi jingine la askari wa nchi hiyo kwa ajili ya kushirikiana na wavamizi wa Saudi Arabia na washirika wake wanaoendelea kuua watu wa Yemen.

  • Wanaharakati watahadharisha kushadidi machafuko mashariki mwa Sudan

    Wanaharakati watahadharisha kushadidi machafuko mashariki mwa Sudan

    Jul 30, 2017 03:34

    Wanaharakati za asasi za kiraia nchini Sudan wametahadharisha kuhusiana na uwezekano wa kushadidi machafuko na ukosefu wa amani katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo.

  • Makumi wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila magharibi mwa Sudan

    Makumi wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila magharibi mwa Sudan

    Jul 24, 2017 02:44

    Watu 28 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila katika eneo la Darfur magharibi mwa Sudan.

  • Askari wa kulinda amani wa Burkina Faso waanza kuondoka Darfur, Sudan

    Askari wa kulinda amani wa Burkina Faso waanza kuondoka Darfur, Sudan

    Jul 20, 2017 03:18

    Waziri wa Ulinzi wa Burkina Faso amesema kuwa, askari wa kulinda amani wa nchi hiyo waliotumwa katika jimbo la Darfur, Sudan wamerejeshwa nyumbani ili kuimarisha usalama nchini mwao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS