-
Ahmad Bilal: Serikali ya Sudan inapinga kuwa na uhusiano na Israel
Aug 24, 2017 03:14Waziri wa Habari wa Sudan ametangaza kuwa, serikali ya Khartoum inapinga kuanzishwa uhusiano baina yake na utawala wa Kizayuini wa Israel.
-
Makumi ya vivuko katika mpaka wa Sudan vimefungwa ili kuzuia magendo ya silaha
Aug 21, 2017 11:55Serikali ya Sudan imefunga vivuko 63 katika mpaka wa nchi hiyo na nchi jirani ili kuzuia kuingizwa silaha nchini humo.
-
Vyama 32 vya siasa barani Afrika vyakutana mjini Khartoum, Sudan
Aug 20, 2017 12:12Wawakilishi wa vyama 32 vya siasa vya nchi za Afrika wamekutana katika mji mkuu wa Sudan Khartoum kujadili njia za kustawisha uhusiano wa kisiasa barani humo.
-
Wasudan wapinga kutumwa askari wa nchi hiyo kuua watu wa Yemen
Aug 10, 2017 02:38Wananchi na vyama vingi vya siasa nchini Sudan vimepinga na kulaani hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kutuma kundi jingine la askari wa nchi hiyo kwa ajili ya kushirikiana na wavamizi wa Saudi Arabia na washirika wake wanaoendelea kuua watu wa Yemen.
-
Wanaharakati watahadharisha kushadidi machafuko mashariki mwa Sudan
Jul 30, 2017 03:34Wanaharakati za asasi za kiraia nchini Sudan wametahadharisha kuhusiana na uwezekano wa kushadidi machafuko na ukosefu wa amani katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila magharibi mwa Sudan
Jul 24, 2017 02:44Watu 28 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila katika eneo la Darfur magharibi mwa Sudan.
-
Askari wa kulinda amani wa Burkina Faso waanza kuondoka Darfur, Sudan
Jul 20, 2017 03:18Waziri wa Ulinzi wa Burkina Faso amesema kuwa, askari wa kulinda amani wa nchi hiyo waliotumwa katika jimbo la Darfur, Sudan wamerejeshwa nyumbani ili kuimarisha usalama nchini mwao.
-
Wasudan elfu 50 watimuliwa Saudia kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi ya Riyadh
Jul 18, 2017 11:04Jumla ya Wasudan elfu 50 wanaoishi nchini Saudia, wametakiwa kuondoka nchi hiyo kabla ya muda waliopewa na serikali ya Riyadh kumalizika.
-
Sudan yalaani hatua ya Marekani ya kuongeza muda wa vikwazo dhidi ya nchi hiyo
Jul 13, 2017 23:41Serikali ya Sudan imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kuongeza muda wa vikwazo vyake dhidi ya nchi hiyo ya Kiafrika, licha ya kutolewa miito mbalimbali ya kuondoa kikamilifu vikwazo hivyo.
-
Hali ya haki za binadamu Sudan yazidi kukosolewa
Jul 09, 2017 09:32Duru mbalimbali zinaripoti kuwa, faili la hali ya haki za binadamu na uhuru nchini Sudan limezusha utata mkubwa, na kwamba serikali ya nchi hiyo sasa inaandamwa vikali na jumuiya za kiraia na kimataifa.