-
Baraza la Usalama lalaani kuuawa askari wa UNAMID huko Darfur, Sudan
Jun 02, 2017 09:35Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani shambulizi dhidi ya operesheni ya kikosi cha pamoja cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa huko Darfur UNAMID.
-
Sudan na Chad zaafikiana kuhusu kurejea kwa hiari wakimbizi
Jun 01, 2017 09:23Serikali za Sudan na Chad zimetiliana saini makubaliano maalumu kuhusiana na kurejea nyumbani kwa hiari wakimbizi wa nchi hizo mbili.
-
Uhusiano wa Sudan na Misri wazidi kuvurugika
May 31, 2017 10:09Katika hali inayoonesha ni kuzidi kuharibika uhusiano wa nchi mbili jirani za Misri na Sudan, serikali ya Khartoum imepiga marufuku kuingizwa nchini Sudan bidhaa zote za kilimo na mifugo kutoka Misri.
-
Juhudi za viongozi wa Umoja wa Afrika kuhusu mazungumzo ya kitaifa Sudan
May 29, 2017 09:31Viongozi wa Umoja wa Afrika AU wameanzisha juhudi za kufufua mazungumzo ya kitaifa nchini Sudan ambayo yamekuwa na mwendo wa kusuasua.
-
Misri yakanusha kuingilia masuala ya ndani ya Sudan
May 24, 2017 23:57Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri amekanusha madai kwamba Cairo inaingilia masuala ya ndani ya Sudan.
-
Sudan yaituhumu Misri kuwa inaunga mkono magenge ya waasi
May 24, 2017 03:21Rais wa Sudan, Omar Hassan al-Bashir ameituhumu serikali ya Misri kuwa inaunga mkono magenge ya waasi yanayoipiga vita serikali ya Khartoum.
-
Sudan yaongeza idadi ya askari wake katika mpaka wa pamoja na Libya
May 22, 2017 22:46Sudan imeanza kutuma askari zaidi katika mpaka wake wa pamoja na Libya katika eneo la Darfur.
-
Ripoti: Watoto wakimbizi wa Sudan wanakabiliwa na lishe duni nchini Chad
May 18, 2017 22:56Mashirika ya utoaji misaada ya kibinadamu nchini Chad yametangaza kuwa, watoto wakimbizi wa Sudan walioko katika kambi za wakimbizi nchini humo wanakabiliwa na hali mbaya ya lishe duni.
-
Wakimbizi wa Sudan wanaishi katika hali mbaya nchini Chad
May 18, 2017 09:42Mashirika ya misaada yaliyoko nchini Chad yametangaza kuwa, wakimbizi wa Sudan wanaoishi katika kambi nne za wakimibizi nchini Chad wako katika hali mbaya huku watoto wadogo wa wakimbizi wakiteseka kwa lishe duni.
-
Wakimbizi wa Sudan Kusini wamiminika Sudan kwa maelfu
May 12, 2017 01:55Maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini wanaendelea kumiminika nchi jirani ya Sudan wakitafuta mahala salama katika nchi ambayo walijitenga nayo miaka kadhaa iliyopita.