Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Chama kingine cha upinzani Sudan chapinga mwenendo wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Chama kingine cha upinzani Sudan chapinga mwenendo wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Aug 22, 2020 19:33

    Chama cha Kimomunisti cha Sudan (Sudanese Communist Party) kimetangaza kuwa, kinapinga mpango wowote ule wa kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Sudan yakanusha taarifa kuhusu mazungumzo na Israel

    Sudan yakanusha taarifa kuhusu mazungumzo na Israel

    Aug 19, 2020 03:36

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imekanusha kauli aliyoitoa msemaji wake kuhusu mawasiliano kati ya Sudan na utawala bandia wa Israel kwa ajili ya kusaini makubaliano ya amani.

  • Serikali ya Sudan kutia saini mapatano ya amani na waasi

    Serikali ya Sudan kutia saini mapatano ya amani na waasi

    Aug 18, 2020 10:07

    Serikali ya Sudan itatia saini mapatano ya amani na makundi ya waasi nchini humo tarehe 28 Agosti kufuatia upatanishi na nchi jirani ya Sudan Kusini.

  • Watu 63 wafariki dunia baada ya mvua kubwa kunyesha Sudan

    Watu 63 wafariki dunia baada ya mvua kubwa kunyesha Sudan

    Aug 17, 2020 00:04

    Viongozi wa Sudan wametangaza kuwa watu 63 wameaga dunia nchini humo baada ya kuathiriwa na mvua kubwa zilizoanza kunyesha mwishoni mwa mwezi Julai hadi sasa.

  • Kwa akali watu 81 wameuawa katika mapigano Sudan Kusini

    Kwa akali watu 81 wameuawa katika mapigano Sudan Kusini

    Aug 12, 2020 03:30

    Kwa akali watu wasiopungua 81 wameuawa Sudan Kusini na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mapigano yaliyozuka kati ya vikosi vya usalama na wanamgambo katika moja ya majimbo ya nchi hiyo.

  • Kuendelea mgogoro wa Bwawa la al-Nahdha; kukataa Sudan kurejea katika mazungumzo

    Kuendelea mgogoro wa Bwawa la al-Nahdha; kukataa Sudan kurejea katika mazungumzo

    Aug 11, 2020 05:20

    Mgogoro kuhusiana na Bwawa la al-Nahdha ungali unaendelea na katika hali ambayo, Ethiopia imetekeleza hatua ya awali ya ujazaji maji katika bwawa hilo, Sudan na Misri zimekataa kuendelea na mazungumzo ya pande tatu kwa ajili ya kufikia makubaliano na serikali ya Addis Ababa.

  • Machafuko yatanda katika mji wa Port Sudan kutokana na hitilafu za kikabila

    Machafuko yatanda katika mji wa Port Sudan kutokana na hitilafu za kikabila

    Aug 10, 2020 05:20

    Gavana wa jimbo la Bahrul Ahmar nchini Sudan amepiga marufuku watu kutembea katika baadhi ya mji wa Port Sudan ambao ni wa pili kwa ukubwa nchini Sudan kutokana na ghasia zilizotokana na hitilafu za kikabila ambazo zimesababisha mauaji ya watu kadhaa na kujeruhi makumi ya wengine.

  • Sudan yakataa kurejea katika mazungumzo kuhusu mzozo wa Bwawa la al-Nahdha

    Sudan yakataa kurejea katika mazungumzo kuhusu mzozo wa Bwawa la al-Nahdha

    Aug 10, 2020 00:08

    Serikali ya Sudan imetangaza kukataa kurejea katika meza ya mazungumzo kuhusu mzozo wa Bwawa la al-Nahdha.

  • Kiongozi wa Baraza la Uongozi la Sudan afichua njama ya kutaka kumuuwa

    Kiongozi wa Baraza la Uongozi la Sudan afichua njama ya kutaka kumuuwa

    Jul 28, 2020 22:31

    Naibu Mkuu wa Baraza la Uongozi la Sudan ametangaza kuwa panden kadhaa nchini humo zimetishia kumuuwa.

  • Misri na Sudan zapinga hatua ya upande mmoja ya Ethiopia ya kuanza kutumia maji ya bwawa la Renaissance

    Misri na Sudan zapinga hatua ya upande mmoja ya Ethiopia ya kuanza kutumia maji ya bwawa la Renaissance

    Jul 28, 2020 22:02

    Misri na Sudan zimesema, hazikubaliani na hatua ya upande mmoja iliyochukuliwa na Ethiopia ya kutekeleza awamu ya kwanza ya utumiaji wa maji ya bwawa la Renaissance.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS