-
Ndege isiyo na rubani yatunguliwa karibu na makazi ya Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan
Mar 29, 2020 21:55Wakuu wa Sudan wametangaza habari ya kutunguliwa ndege moja isiyo na rubani (droni) juu ya anga ya makazi ya Mkuu wa Baraza la Uongozi la nchi hiyo.
-
Tripoli yaitaka Khartoum kuwaondoa mamluki wa Kisudani nchini Libya
Mar 21, 2020 07:17Mjumbe katika Baraza la Utawala la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya, Muhammad Ammari amesema Libya ingali inasubiri ufafanuzi wa Serikali ya Sudan kuhusu uwepo wa mamluki wa Kisudani katika safu za wapiganaji wa jenerali muasi, Khalifa Haftar wanaoendelea kuhujumu mji wa Tripoli.
-
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaamuru kukamatwa waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Sudan
Mar 18, 2020 23:15Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Sudan imetoa waranti wa kutiwa nguvuni waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo na kuzuiliwa mali zake.
-
Afisa mmoja wa ngazi za juu wa Sudan atembelea Misri kupunguza wasiwasi wa kutokea vita
Mar 15, 2020 03:16Duru za habari zimeripoti kuwa, afisa mmoja wa ngazi za juu wa kijesi wa Sudan ametembelea Misri kwa ajili ya kufanya mazungumzo kuhusu bwawa la al Nahdha la Ethiopia na kupunguza wasiwasi wa kutokea vita baina ya nchi hizo mbili.
-
The Guardian: Imarati imempatia Haftari tani 5,000 za silaha
Mar 12, 2020 23:20Ripoti iliyoandikwa na gazeti la Guardian la Uingereza imefichua kuwa, nchi ya Umoja wa Falme wa Kiarabu (Imarati) imempatia jenerali mstaafu wa Libya, Khalifa Haftar tani elfu tano za silaha tangu mwezi Januari mwaka huu.
-
Washukiwa wa jaribio la mauaji dhidi ya Waziri Mkuu wa Sudan watiwa nguvuni
Mar 12, 2020 10:53Waziri wa Utamaduni na Vyombo vya Habari wa Sudan ametangaza kuwa, vyombo vya usalama vya nchi hiyo vimewatia nguvuni washukiwa wa jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa muda wa nchi hiyo.
-
Sudan yaunda taasisi mpya ya usalama wa ndani baada ya waziri mkuu kunusurika kuuawa
Mar 12, 2020 04:38Msemaji wa Baraza la Uongozi la Sudan ametangaza habari ya kuundwa taasisi Mpya ya usalama wa ndani kwa shabaha ya kupambana na vitendo vya kigaidi nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa walaani jaribio la kumuua waziri mkuu wa Sudan
Mar 11, 2020 01:17Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali jaribio la kumuua Waziri Mkuu wa Sudan.
-
AU yalaani jaribio la mauaji dhidi ya Waziri Mkuu wa Sudan
Mar 10, 2020 04:46Umoja wa Afrika umelaani shambulizi la bomu dhidi ya Waziri Mkuu wa Sudan, Abdulla Hamdok ambaye alinusurika kifo jana kufuatia mlipuko wa bomu uliolenga gari lake katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.
-
Waziri Mkuu wa Sudan anusurika kifo katika shambulio la bomu
Mar 09, 2020 06:45Waziri Mkuu wa Sudan Abdulla Hamdok amenusurika kifo leo kufuatia mlipuko wa gari uliolenga gari lake katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.