-
Wasudan waendeleza malalamiko ya umma
May 30, 2019 02:19Migomo ya umma imeanza tena nchini Sudan baada ya kushindwa mazungumzo baina ya wapinzani na Baraza la Kijeshi linalotawala nchi hiyo.
-
Wananchi wa Sudan walizuia ndege ya Saudia kupaa katika uwanja wa ndege wa Khartoum
May 29, 2019 23:55Wananchi wenye hasira kali walizuia ndege ya Saudi Arabia kupaa katika uwanja wa ndege wa Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Mgomo wa nchi nzima waanza Sudan kulishinikiza baraza la kijeshi
May 28, 2019 09:14Wananchi wa Sudan wameanza mgomo wao wa nchi nzima kwa lengo la kulishinikiza baraza la kijeshi la uongozi wa mpito kukabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia haraka iwezekanavyo.
-
Mkuu wa Baraza la Mpito la Sudan aonana na rais wa Sudan Kusini
May 28, 2019 03:29Mkuu wa Baraza la Kijeshi la Mpito la Sudan ameonana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini katika kikao cha faragha.
-
Wapinzani nchini Sudan watofautiana juu ya mgomo wa nchi nzima
May 26, 2019 23:55Muungano mkuu wa upinzani nchini Sudan umepinga mwito wa baadhi ya makundi ya wapinzani wa kufanyika mgomo wa nchi nzima kuanzia Jumanne ijayo, baada ya mazungumzo ya kutatua hitilafu zilizopo baina yao na Baraza la Mpito la Kijeshi kushindwa kuzaa matunda.
-
Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri aliunga mkono Baraza la Kijeshi la Sudan
May 26, 2019 06:49Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ametangaza uungaji mkono wake kwa Baraza la Kijeshi ambalo liliundwa baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Omar al-Bashir wa Sudan.
-
Mgomo wa nchi nzima wa wapinzani nchini Sudan kufanyika wiki ijayo
May 25, 2019 02:38Viongozi wa upinzani nchini Sudan wametangaza Jumanne ya wiki ijayo kuwa siku ya kuanza mgomo wa nchi nzima, baada ya mazungumzo ya kutatua hitilafu zilizopo baina yao na Baraza la Mpito la Kijeshi kushindwa kuzaa matunda.
-
Rais Kiir wa Sudan Kusini ataka wapinzani kutekeleza mapatano ya amani
May 24, 2019 03:39Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewataka viongozi wote wa upinzani kuchukua hatua za kivitendo katika kutekeleza makubaliano ya amani, ili kurejesha matumaini na matarajio ya wananchi.
-
Wapinzani Sudan waitisha mgomo wa nchi nzima, wasema mazungumzo yamefeli
May 21, 2019 09:00Viongozi wa upinzani nchini Sudan wametoa mwito wa kufanyika mgomo wa nchi nzima, wakisisitiza kuwa vikao viwili vya mazungumzo vya juzi na jana jioni vimeshindwa kupatia ufumbuzi hitilafu zilizopo baina ya pande mbili.
-
Jeshi la Sudan kuanza tena mazungumzo na waandamanaji
May 19, 2019 03:26Baraza la Kijeshi linaloshikilia madaraka kwa muda nchini Sudan limetangaza kuwa mazungumzo na viongozi wa waandamanaji yataanza tena ili kutatua hitilafu zilizopo baina ya pande mbili kuhusu utawala wa mpito kabla ya kufanyika uchaguzi wa demokrasia nchini humo.