-
Homa ya Dengue yaongezeka Tanzania, mji wa Dar es Salaam unaongoza
May 16, 2019 22:03Homa ya Dengue inaripotiwa kuongezeka katika miji mbalimbali ya Tanzania, huku jiji la Dar es Salaam likiripotiwa kuongoza kwa idadi ya watu wanaogua maradhi hayo.
-
Wapinzani Sudan wasikitishwa na hatua ya jeshi kusimamisha mazungumzo
May 16, 2019 22:01Wapinzani nchini Sudan wameeleza kusikitishwa kwao na hatua ya Baraza la Kijeshi la Mpito ya kusimamisha kwa muda mazungumzo baina ya pande mbili hizo kuhusu uundwaji wa serikali ya muda nchini humo.
-
Baraza la Kijeshi la Sudan na wapinzani wafikia mapatano ya kuunda serikali ya mpito
May 15, 2019 06:48Hatimaye baada ya mazungumzo mapana na ya vuta nikuvute Baraza la Kjeshi la Mpito la Sudan na wawakilishi wa upinzani nchini humo wamefikia mapatano kuhusu muda wa miaka mitatu wa kukabidhi madaraka nchini humo na namna serikali hiyo ya muda itakavyoundwa nchini humo.
-
Watu kadhaa wauawa katika machafuko mapya nchini Sudan
May 14, 2019 03:15Sambamba na kuanza duru mpya ya mazungumzo kuhusiana na suala la kukabidhiwa madaraka ya Sudan kwa utawala wa kirai jana Jumatatu, imearifiwa kuwa watu sita wakiwemo maafisa usalama wameuawa au kujeruhiwa katika machafuko mapya yaliyoibuka katika mji mkuu Khartoum jana jioni.
-
Kuendelea mazungumzo kati ya jeshi la Sudan na wapinzani
May 13, 2019 06:06Ikiwa ni mwezi mmoja umepita tokea Omar al-Bashir, aondolewe madarakani nchini Sudan, bado kuna tofauti kubwa kati ya Baraza la Kieshi la Mpito na muungano wa Uhuru na Mabadiliko kuhusiana na jinsi raia watakabidhiwa madaraka, kuandaliwa mazingira ya uchaguzi na kubuniwa serikali ya kidemokrasia nchini humo.
-
Wananchi wa Sudan wazidi kushinikiza kukabidhiwa madaraka kwa utawala wa kiraia
May 12, 2019 09:22Wapinzani nchini Sudan kwa mara nyingine tena wamesisitiza juu ya kutekelezwa takwa lao la kukabidhiwa madaraka ya nchi hiyo kwa utawala wa kiraia.
-
Wasudan wataka balozi wa Saudia atimuliwe nchini mwao
May 11, 2019 11:04Baada ya balozi wa Saudi Arabia nchini Sudan kutoa maneno ya uchochezi, kundi moja la wananchi wa nchi hiyo wametaka balozi huyo afukuzwe nchini mwao.
-
Umoja wa Mataifa wataka kukabidhiwa madaraka Sudan kwa njia ya amani
May 10, 2019 21:49Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande husika nchini Sudan kufanya juhudi za kudhamini ukabidhianaji madaraka kwa njia ya amani.
-
Wapinzani nchini Sudan: Baraza la Mpito la Kijeshi linapoteza muda
May 09, 2019 02:52Viongozi wa maandamano nchini Sudani wamelituhumu Baraza la Mpito la Kijeshi nchini humo kwamba, linapoteza muda na hivyo kuchelewesha mchakato wa kukabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia.
-
Baraza la Kijeshi Sudan lakanusha taarifa kuwa limeafiki kubuniwa baraza huru la mpito
May 06, 2019 03:44Baraza la Mpito la Kijeshi la Sudan limekanusha taarifa kuwa limeafiki pendekezo lolote la kuundwa kwa Baraza huru la mpito.