-
Jumuiya ya Madaktari nchini Sudan yaitisha mgomo wa nchi nzima
Jan 11, 2019 04:37Jumuiya ya Madaktari nchini Sudan imeitisha mgomo wa nchi nzima ikilalamikia kuuawa kiholela waandamanaji kadhaa katika mji wa Omdurman.
-
Mo Ibrahim: ICC imfutie mashitaka Rais wa Sudan iwapo ataachia ngazi
Jan 09, 2019 23:20Bilionea mashuhuri mzawa wa Sudan, Mohammed Ibrahim amesema Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC inapaswa kumuondolea mashitaka Rais Omar al-Bashir wa Sudan iwapo atakubali kujiuzulu, kama anavyoshinikizwa na wananchi wanaofanya maandamano dhidi yake tangu mwezi uliopita.
-
Omar al Bashir: Machafuko ya Sudan yanachochewa na baadhi ya makundi
Jan 09, 2019 03:58Rais wa Sudan amewatuhumu watu aliowaita kuwa wanafanya njama kuwa wanahusika katika machafuko ya hivi sasa katika maandamano yanayofanyika nchini humo dhidi ya serikali yake.
-
Kuendelea maandamano ya kupinga serikali nchini Sudan
Jan 08, 2019 21:28Katika hali ambayo malalamiko na maandamano dhidi ya serikali yanaendelea nchini Sudan, Rais Omar Hassan al-Bashir wa nchi hiyo ameanza safari ya kutembelea baadhi ya majimbo ya nchi hiyo kwa shabaha ya kutuliza hali ya mambo.
-
Zaidi ya waandamanaji 800 wakamatwa Sudan
Jan 08, 2019 03:54Zaidi ya waandamanaji 816 wamekamatwa kote Sudan katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita baada ya kuanza maandamano dhidi ya utawala wa Omar al-Bashir.
-
Sudan yakanusha madai ya Netanyahu kwamba nchi hiyo imeruhusu ndege za Israel kutumia anga yake
Jan 07, 2019 09:58Rais Omar al Bashir wa Sudan amekanusha madai ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel aliyesema kuwa ndege za utawala huo zimeruhusiwa kutumia anga ya Sudan.
-
Maandamano yaendelea Sudan, wahadhiri wa vyuo vikuu watiwa nguvuni
Jan 06, 2019 09:11Askari usalama wa Sudan wamewatia nguvuni wahadhiri wa vyuo vikuuu walioanzisha mgomo leo mjini Khaertoum na kukabiliana na waandamanaji kwa mabomu ya kutoa machozi.
-
Polisi ya Sudan yatumia mabomu ya kutoa machozi kukabiliana na waandamanaji wanaodai 'amani na uadilifu'
Jan 04, 2019 23:11Askari polisi wa Sudan wametumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wapinzani wa serikali waliokuwa wakiandamana katika mji wa Omdurman, karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.
-
Muungano mkuu wa upinzani nchini Sudan wamtaka Rais Bashir ajiuzulu
Jan 02, 2019 23:43Muungano mkubwa zaidi wa upinzani wa Nidaa nchini Sudan umemtaka Rais Omar al-Bashir wa nchi hiyo aachie ngazi, huku maandamano dhidi ya serikali yakiendelea.
-
Al Bashir aamuru kuundwe tume ya kuchunguza machafuko ya sasa nchini Sudan
Jan 01, 2019 11:41Rais Omar al Bashir wa Sudan ametoa amri ya kuundwa tume ya kuchunguza ghasia na machafuko yanayoendelea sasa nchini humo.