Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • SAUTI, Marais Omar Al-Bashir wa Sudan na Yoweri Museven wa Uganda, wamelivalia njuga suala la Sudan Kusini

    SAUTI, Marais Omar Al-Bashir wa Sudan na Yoweri Museven wa Uganda, wamelivalia njuga suala la Sudan Kusini

    Jul 09, 2018 11:39

    Marais Omar al-Bashir wa Sudan na Yoweri Museven wa Uganda, wameongoza mazungumzo ya usuluhishi kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Sudan.

  • Jumatatu 9 Julai, 2018

    Jumatatu 9 Julai, 2018

    Jul 09, 2018 00:18

    Leo ni Jumatatu tarehe 25 Shawwal 1439 Hijria sawa na 9 Julai 2018.

  • Riek Machar kurejeshwa katika nafasi ya Makamu wa Rais wa Sudan Kusini

    Riek Machar kurejeshwa katika nafasi ya Makamu wa Rais wa Sudan Kusini

    Jul 08, 2018 03:15

    Pande hasimu Sudan Kusini zimeafiki kugawana madaraka kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa na pande hizo ambapo kwa mujibu wake kiongozi wa waasi nchini humo, Riek Machar atarejeshwa katika wadhifa wa Makamu wa Rais.

  • Serikali na waasi kuondoa vikosi vyao maeneo ya mijini Sudan Kusini

    Serikali na waasi kuondoa vikosi vyao maeneo ya mijini Sudan Kusini

    Jul 07, 2018 02:37

    Pande hasimu katika mgogoro wa Sudan Kusini zimeafiki pendekezo la kuviondoa vikosi vya wapiganaji wao katika maeneo ya mijini nchini humo.

  • Raia 18 wauawa katika machafuko mapya Sudan Kusini

    Raia 18 wauawa katika machafuko mapya Sudan Kusini

    Jul 03, 2018 11:11

    Watu wasiopungua 18 wameuawa katika machafuko mapya yaliyozuka nchini Sudan Kusini, baada ya kukiukwa makubaliano mapya ya amani yaliyosainiwa siku chache zilizopita katika nchi jirani ya Sudan.

  • Wabunge Sudan Kusini waanza kujadili suala la kuongezwa muhula wa urais na bunge

    Wabunge Sudan Kusini waanza kujadili suala la kuongezwa muhula wa urais na bunge

    Jul 03, 2018 03:33

    Wawakilishi wa bunge nchini Sudan Kusini wameanza mchakato wa mazungumzo unaohusiana na pendekezo la kuifanyia katiba marekebisho yatakayopelekea kuongezwa muhula wa urais na bunge kufikia Julai 2021.

  • AU: Wakati wa kuchukua hatua Sudan Kusini umewadia

    AU: Wakati wa kuchukua hatua Sudan Kusini umewadia

    Jul 01, 2018 02:46

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema wakati umefika wa kuwachukulia hatua wahusika wanaochochea mgogoro nchini Sudan Kusini.

  • Mapatano ya usitishaji vita Sudan Kusini yakiukwa masaa machache baada ya kuidhinishwa

    Mapatano ya usitishaji vita Sudan Kusini yakiukwa masaa machache baada ya kuidhinishwa

    Jun 30, 2018 11:50

    Mapatano ya hivi karibuni ya usitishaji vita Sudan Kusini yamekiukwa masaa machache baada ya kuanza kutekelezwa huku pande zote mbili za serikali na upinzani zikirushiana lawama.

  • Salva Kiir atangaza usitishaji vita wa kudumu Sudan Kusini

    Salva Kiir atangaza usitishaji vita wa kudumu Sudan Kusini

    Jun 29, 2018 23:38

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametangaza usitishaji vita wa kudumu kote nchini humo.

  • Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini wakubaliana kusitisha vita

    Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini wakubaliana kusitisha vita

    Jun 26, 2018 21:44

    Mahasimu wawili wakubwa ambao ndio wahusika wakuu wa mgogoro wa miaka kadhaa sasa wa Sudan Kusini wameafikiana kusitisha mapigano huku wakikubaliana katika nukta nyingine kadhaa za kuhakikisha amani ya kudumu inapatikana nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS