Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko Uganda wajiandaa kurejea nyumbani (RIPOTI)

    Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko Uganda wajiandaa kurejea nyumbani (RIPOTI)

    Jun 26, 2018 12:11

    Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko nchini Uganda wameanza kujitayarisha kurejea nchini kwao, baada ya pande hasimu za kisiasa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kusaini makubaliano ya amani mjini Khartoum, Sudan.

  • Msafara wa walinda amani wa UN wavamiwa Sudan Kusini, askari auawa

    Msafara wa walinda amani wa UN wavamiwa Sudan Kusini, askari auawa

    Jun 26, 2018 10:39

    Askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini ameuawa mapema leo Jumanne baada ya msafara wa magari ya mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu kuviziwa na kushambuliwa na genge la wabeba silaha magharibi mwa nchi hiyo.

  • Mahasimu wa Sudan Kusini waonana ana kwa ana Khartoum

    Mahasimu wa Sudan Kusini waonana ana kwa ana Khartoum

    Jun 25, 2018 10:19

    Mahasimu wawili wakubwa ambao ndio wahusika wakuu wa mgogoro wa miaka kadhaa sasa wa Sudan Kusini wameanzisha mazungumzo mpya ya amani ya kumaliza mgogoro wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

  • Kujiuzulu Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Kusini

    Kujiuzulu Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Kusini

    Jun 23, 2018 02:48

    Serikali ya Sudan Kusini imetangaza rasmi habari ya kujiuzulu waziri wake wa mambo ya nje.

  • Waasi Sudan Kusini: Muda zaidi unahitajika kufikia amani

    Waasi Sudan Kusini: Muda zaidi unahitajika kufikia amani

    Jun 22, 2018 03:20

    Waasi wa Sudan Kusini wametangaza kuwa muda zaidi unahitajika ili kufanikisha mchakato wa amani ya kudumu nchini humo na kwamba itakuwa jambo la muhimu kuvipatia ufumbuzi vyanzo vikuu vya vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan Kusini.

  • Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini akutana na hasimu wake, Addis Ababa

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini akutana na hasimu wake, Addis Ababa

    Jun 21, 2018 03:46

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini jana alikutana na kufanya mazungumzo na kiongozi wa waasi nchini humo, Rieck Machar mjini Addis Ababa ikiwa ni mara ya kwanza tangu mwaka 2016 wakati mapatano ya amani kati ya pande hizo mbili yaliposambaratika na kuanza tena mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini.

  • Mahasimu wakuu wa mgogoro wa Sudan Kusini kukutana Ethiopia

    Mahasimu wakuu wa mgogoro wa Sudan Kusini kukutana Ethiopia

    Jun 19, 2018 08:58

    Rais Salva Kiir wa Sudan kusini atakutana na kiongozi mkuu wa waasi, Reik Machar mjini Addis Ababa Ethiopia siku ya Jumatano kama sehemu ya jitihada za kumaliza vita vya ndani ambaرyo vimekuwa vikiendelea kwa muda wa miaka mitano nchini humo.

  • Riek Machar akubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini

    Riek Machar akubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini

    Jun 14, 2018 03:31

    Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar amekubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika, wiki ijayo nchini Ethiopia.

  • IGAD yasema amani ya Sudan Kusini sasa ipo mikononi mwa Kiir na Machar

    IGAD yasema amani ya Sudan Kusini sasa ipo mikononi mwa Kiir na Machar

    Jun 03, 2018 02:59

    Jumuiya ya Kiserikali ya Maendeleo Mashariki mwa Afrika IGAD inaonekana kusalimu amri katika jitihada za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini.

  • Waasi Sudan Kusini waunga mkono upatanishi wa Raila katika mgogoro wa nchi hiyo

    Waasi Sudan Kusini waunga mkono upatanishi wa Raila katika mgogoro wa nchi hiyo

    May 28, 2018 02:44

    Waasi wa Sudan Kusini wanaoongozwa na Riek Machar, makamu wa zamani wa rais, wameunga mkono hatua ya Kenya kumteua kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa mpatanishi katika mgogoro unaotokota nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS