Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Umoja wa Afrika kuwawekea vikwazo wanaohatarisha amani Sudan Kusini

    Umoja wa Afrika kuwawekea vikwazo wanaohatarisha amani Sudan Kusini

    Jan 29, 2018 03:00

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema umoja huo utawawekea vikwazo wale wote wanakwaza na kutatiza juhudi za kurejesha amani na usalama nchini Sudan Kusini.

  • Wasimamizi wa usitishaji vita Sudan Kusini: Viongozi wanaokiuka makubaliano ya amani kukabiliwa na vikwazo

    Wasimamizi wa usitishaji vita Sudan Kusini: Viongozi wanaokiuka makubaliano ya amani kukabiliwa na vikwazo

    Jan 25, 2018 10:42

    Timu ya kusimamia usitishaji vita nchini Sudan Kusini inayoungwa mkono kimataifa imesema kuwa imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litamke iwapo viongozi wanaokiuka makubaliano ya amani mali zizuiwe, kuwekewa marufuku ya kusafiri katika nchi za kanda au kuwekewa vikwazo vya silaha.

  • Waasi Sudan Kusini wawashikilia mateka marubani Wakenya, wanataka fidia

    Waasi Sudan Kusini wawashikilia mateka marubani Wakenya, wanataka fidia

    Jan 23, 2018 11:43

    Waasi wa Sudan Kusini wanawashikilia mateka marubani wawili wa ndege kutoka Kenya na wanasema hawatawaachilia huru hadi pale watakapotoa fidia kwa familia ya raia aliyeuawa wakati ndege yao ilipoanguka wakati wa kutua.

  • UNICEF yatahadharisha kuhusiana na hali mbaya ya watoto Sudan Kusini

    UNICEF yatahadharisha kuhusiana na hali mbaya ya watoto Sudan Kusini

    Jan 20, 2018 23:41

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili watoto katika nchi changa ya Sudan Kusini.

  • Raia 700,000 wa Sudan Kusini walikimbia njaa, vita, magonjwa mwaka jana

    Raia 700,000 wa Sudan Kusini walikimbia njaa, vita, magonjwa mwaka jana

    Jan 19, 2018 10:27

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa OCHA imesema raia takriabani laki 7 wa Sudan Kusini walikimbilia nchi jirani kutokana na migogoro, njaa na magonjwa katika mwaka 2017.

  • Troika ya Magharibi yatuhumiwa kukiuka makubaliano ya amani ya Sudan Kusini

    Troika ya Magharibi yatuhumiwa kukiuka makubaliano ya amani ya Sudan Kusini

    Jan 17, 2018 23:03

    Jeshi la Ukombozi wa Sudan Kusini limeituhumu Troika ya Magharibi inayozijumuisha Uingereza, Marekani na Norway kwa kukiuka mtawalia makubaliano ya amani ya nchi hiyo.

  • Mapigano mapya yaripotiwa karibu na mji mkuu wa Sudan Kusini

    Mapigano mapya yaripotiwa karibu na mji mkuu wa Sudan Kusini

    Jan 06, 2018 03:47

    Mapigano mapya kati ya jeshi na waasi yameripotiwa karibu na mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, siku chache baada ya kuvurugika kwa makubaliano ya amani yaliyosainiwa kati ya pande hasimu za kisiasa mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.

  • IGAD yalaumu wanaovuruga mapatano mapya ya kusitisha vita Sudan Kusini

    IGAD yalaumu wanaovuruga mapatano mapya ya kusitisha vita Sudan Kusini

    Dec 31, 2017 00:02

    Mwenyekiti wa baraza la mawaziri katika Shirika la Maendeleo la Kiserikali la Nchi za Afrika Mashariki IGAD amelaani kitendo cha kuvunjika kwa makubaliano yaliyosainiwa na pande zinazohasimiana nchini Sudan Kusini.

  • Mahasimu Sudan Kusini warushiana tuhuma, waagizwa kuheshimu mapatano ya amani

    Mahasimu Sudan Kusini warushiana tuhuma, waagizwa kuheshimu mapatano ya amani

    Dec 25, 2017 03:45

    Wakuu wa serikali ya Sudan Kusini na kundi kubwa zaidi la waasi wamerushiana lawama kuhusu kukiuka mapatano ya usitishwaji mapigano yaliyaonza kutekelezwa jana.

  • Kuanza kutekelezwa usitishaji vita nchini Sudan Kusini

    Kuanza kutekelezwa usitishaji vita nchini Sudan Kusini

    Dec 24, 2017 10:11

    Utekelezaji wa usitishaji vita huko Sudan Kusini umeanza kutekelezwa kwa shabaha ya kuhitimisha vita vya ndani katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kufuatia makubaliano yaliyofikiwa kati ya pande zinazozozana katika nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS