Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Matumaini Sudan Kusini baada ya Machar kuamuru wafuasi wake wasitishe vita

    Matumaini Sudan Kusini baada ya Machar kuamuru wafuasi wake wasitishe vita

    Dec 23, 2017 23:56

    Matumaini ya amani Sudan Kusini yameimarika baada ya kiongozi wa waasi, Riek Machar kuamuru wapiganaji wake kuacha kupigana na wanajeshi wa serikali.

  • Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa wa kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu Sudan Kusini

    Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa wa kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu Sudan Kusini

    Dec 22, 2017 23:14

    Kundi la wataalamu wa Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi lilionao wa kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu katika nchi ya Sudan Kusini.

  • Umoja wa Afrika wakaribisha makubaliano ya amani ya Sudan Kusini

    Umoja wa Afrika wakaribisha makubaliano ya amani ya Sudan Kusini

    Dec 22, 2017 11:42

    Umoja wa Afrika (AU) umetoa taarifa rasmi na kukaribisha kwa mikono miwili makubaliano ya amani yaliyofikiwa kati ya mahasimu wa kisiasa huko Sudan Kusini.

  • Mahasimu Sudan Kusini watia saini mapatano ya usitishaji vita

    Mahasimu Sudan Kusini watia saini mapatano ya usitishaji vita

    Dec 22, 2017 03:18

    Serikali ya Sudan Kusini imetiliana saini mapatano ya usitishaji vita na makundi ya waasi nchini humo jana Alkhamisi katika jitihada za hivi karibuni za kumaliza vita vya ndani ambavyo vimekuwa vikiendelea kwa muda wa miaka minne nchini humo.

  • UNICEF: Watoto Sudan Kusini wanakabiliwa na hali mbaya

    UNICEF: Watoto Sudan Kusini wanakabiliwa na hali mbaya

    Dec 16, 2017 11:56

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu hali mbaya ya watoto katika nchi ya Sudan Kusini.

  • WHO: Mamia wamefariki dunia Sudan Kusini kutokana na kipindupindu

    WHO: Mamia wamefariki dunia Sudan Kusini kutokana na kipindupindu

    Dec 16, 2017 00:44

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, watu 462 wamefariki dunia nchini Sudan Kusini tangu ugonjwa wa kipindupindu ulipotangazwa nchini humo mwezi Juni mwaka jana na kwamba wengine 21 elfu na 571 wanasumbuliwa na maradhi hayo.

  • Vikosi vya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini vyaongezewa muda

    Vikosi vya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini vyaongezewa muda

    Dec 15, 2017 03:36

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha uamuzi wa kurefusha muda wa kuhudumu Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS kwa miezi mitatu zaidi.

  • Sudan Kusini yahitaji misaada ya kibinadamu ya dola bilioni 1.7

    Sudan Kusini yahitaji misaada ya kibinadamu ya dola bilioni 1.7

    Dec 13, 2017 23:43

    Sudan Kusini inahitaji misaada ya kibinadamu ya dola bilioni 1.7 katika mwaka ujao wa 2018 ili kuwasaidia raia wa nchi hiyo wapatao milioni 6; idadi ambayo ni nusu ya jamii ya nchi hiyo.

  • Watu 170 wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini

    Watu 170 wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini

    Dec 12, 2017 12:58

    Watu zaidi ya 170 wamethibitishwa kuuawa Sudan Kusini katika mapigano ya kikabila yaliyoibuka katika eneo la Maziwa Makuu nchini humo wiki iliyopita.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu ukame na njaa Sudan Kusini

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu ukame na njaa Sudan Kusini

    Dec 08, 2017 23:03

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya kibinadamu ametahadharisha kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya chakula kwa zaidi ya watu milioni moja huko Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS