Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Israel yaiuzia Sudan Kusini ndege zisizo na rubani

    Israel yaiuzia Sudan Kusini ndege zisizo na rubani

    Dec 05, 2017 04:34

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeiuzia Sudan Kusini ndege zisizo na rubani na kamera za kisasa za usalama zilizogharimu mamilioni ya dola, licha ya nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kusumbuliwa na ukosefu wa usalama, machafuko, njaa na wimbi la wakimbizi.

  • Sudan Kusini kujiunga na Mkataba wa Kupiga Marufuku Silaha za Kemikali

    Sudan Kusini kujiunga na Mkataba wa Kupiga Marufuku Silaha za Kemikali

    Dec 02, 2017 11:26

    Sudan Kusini itakuwa nchi mwanachama wa Mkataba wa Silaha za Kemikali, CCW na kujiunga na Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali Duniani, OPCW.

  • Watu 50 wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini

    Watu 50 wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini

    Nov 29, 2017 12:51

    Watu wasiopungua 50 wameripotiwa kuuawa leo huko Sudan Kusini baada ya kutokea mapigano ya kikabila katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

  • UN: Watu milioni 1.2 wakabiliwa na baa la njaa Sudan Kusini

    UN: Watu milioni 1.2 wakabiliwa na baa la njaa Sudan Kusini

    Nov 06, 2017 10:10

    Umoja wa Mataifa umesema watu milioni moja, laki mbili na elfu 50 wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa nchini Sudan Kusini.

  • UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini

    UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini

    Oct 27, 2017 04:13

    Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika mji mkuu wa nchi jirani ya Sudan, Khartoum.

  • Sudan Kusini yaazimia kutekeleza ahadi  ya kusimamisha vita daima

    Sudan Kusini yaazimia kutekeleza ahadi ya kusimamisha vita daima

    Oct 19, 2017 04:22

    Serikali ya Sudan Kusini imesisitiza tena azma ya kuhakikisha vita vya ndani vinasitishwa nchini humo baada ya kiongozi wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kutangaza kuwa kukosekana kwa usalama nchini humo kunatokana na ukosefu wa nia ya kisiasa.

  • Kukosolewa serikali ya Juba na UN kwa kigugumizi chake katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Sudan Kusini

    Kukosolewa serikali ya Juba na UN kwa kigugumizi chake katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Sudan Kusini

    Oct 18, 2017 09:56

    Kuendelea vita vya ndani huko Sudan Kusini, kumeufanya Umoja wa Mataifa uituhumu serikali ya Juba kwamba, imekuwa na kigugumizi na hali ya kusitasita katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • Sudan Kusini: Viongozi wa Marekani waangalie uvunjwaji wa haki za binaadamu nchini kwao, sio kwetu

    Sudan Kusini: Viongozi wa Marekani waangalie uvunjwaji wa haki za binaadamu nchini kwao, sio kwetu

    Oct 17, 2017 05:02

    Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudan Kusini amesema kuwa viongozi wa Marekani wanatakiwa kuwa na wasi wasi wa ukiukwaji wa haki za binaadamu nchini kwao na sio katika nchi nyingine.

  • Hali ya kibinadamu yazidi kuwa mbaya Sudan Kusini

    Hali ya kibinadamu yazidi kuwa mbaya Sudan Kusini

    Oct 04, 2017 12:35

    Gazeti la al Jadid linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa, hadi hivi sasa Sudan Kusini imeshindwa kuwa na serikali huru licha ya kupita miaka mingi ya tangu kujitenga na Sudan mwaka 2011.

  • Jeshi la Sudan Kusini laua waasi 91 katika jimbo la Bieh nchini humo

    Jeshi la Sudan Kusini laua waasi 91 katika jimbo la Bieh nchini humo

    Oct 03, 2017 01:24

    Jeshi la Sudan Kusini limetangaza kuwa kufuatia kuanza wimbi jipya la mapigano katika eneo la Waat katika jimbo la Bieh, jumla ya waasi 91 wameuawa na jeshi hilo huku wengine wakijeruhiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS