Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • S/Kusini yabuni kamati ya kuanisha hatima ya majimbo 28

    S/Kusini yabuni kamati ya kuanisha hatima ya majimbo 28

    Jun 04, 2016 03:13

    Sudan Kusini imebuni kamati maalumu ya kuanisha hatima ya majimbo 18 ya ziada yaliyotangazwa mwishoni mwa mwaka uliopita 2015 na Rais Salva Kiir.

  • UN: Huenda Sudan Kusini ikawekewa vikwazo vipya

    UN: Huenda Sudan Kusini ikawekewa vikwazo vipya

    Jun 01, 2016 02:18

    Umoja wa Mataifa umesema Sudan Kusini ipo katika ncha ya kuwekewa vikwazo vipya na jamii ya kimataifa kutokana na mwendo wa kinyonga wa kutekeleza makubaliano ya amani yaliyofikiwa mwaka jana.

  • Umoja wa Ulaya walaani vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu Sudan Kusini

    Umoja wa Ulaya walaani vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu Sudan Kusini

    May 24, 2016 03:18

    Umoja wa Ulaya umelaani vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu katika nchi changa zaidi barani Afrika ya Sudan Kusini.

  • Umoja wa Ulaya walaani vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu Sudan Kusini

    Umoja wa Ulaya walaani vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu Sudan Kusini

    May 24, 2016 02:09

    Umoja wa Ulaya umelaani vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu katika nchi changa zaidi barani Afrika ya Sudan Kusini.

  • UN yaitaka Sudan Kusini itekeleze ahadi ya kufuatilia jinai za ukatili wa kingono

    UN yaitaka Sudan Kusini itekeleze ahadi ya kufuatilia jinai za ukatili wa kingono

    May 12, 2016 10:57

    Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Ukatili wa Kingono Katika Migogoro ameutaka uongozi mkuu wa serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa ya Sudan Kusini utekeleze ahadi ulizotoa za kufuatilia jinai za ukatili wa kingono zilizofanywa nchini humo.

  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa apongeza kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa Sudan Kusini

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa apongeza kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa Sudan Kusini

    Apr 29, 2016 23:39

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kuundwa serikali ya عmoja wa نitaifa nchini Sudan Kusini baada ya Rais Salva Kiir wa nchi hiyo kuliapisha baraza jipya la mawaziri na kuzitaka pande husika zikamilishe hatua zote za kuunda taasisi za serikali hiyo ya mpito.

  • Misri yapongeza hatua ya Machar kurejea Juba kuunda serikali

    Misri yapongeza hatua ya Machar kurejea Juba kuunda serikali

    Apr 28, 2016 23:39

    Serikali ya Misri imepongeza hatua ya Riek Machar, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini kurejea mjini Juba kwa ajili ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na hasimu wake wa kisiasa Rais Salva Kiir.

  • Umoja wa Mataifa wapongeza hatua ya Machar kurejea Juba

    Umoja wa Mataifa wapongeza hatua ya Machar kurejea Juba

    Apr 27, 2016 10:06

    Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya Riek Machar, kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini kurejea katika mji mkuu wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika na kuunda serikali na Rais Salva Kiir.

  • Machar, Mkuu wa waasi Sudan Kusini aapishwa kuwa makamu wa rais

    Machar, Mkuu wa waasi Sudan Kusini aapishwa kuwa makamu wa rais

    Apr 26, 2016 10:01

    Kiongozi wa waasi Sudan Kusini Riek Machar amewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba na kuapishwa kuwa makamu wa rais wa nchi hiyo.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS