-
Sudan Kusini kufungua tena shule baada ya kupungua kesi za Covid-19
Sep 30, 2020 01:10Huku nchi kadhaa za Afrika zikiendelea kulegeza sheria kali za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona kutokana na kupungua kwa kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, serikali ya Sudan Kusini imetangaza kuwa shule nchini humo zitaanza kufunguliwa kuanzia mwezi ujao wa Oktoba.
-
WFP: Wahanga wa mafuriko Sudan Kusini wanahitaji misaada
Sep 29, 2020 08:44Mvua kubwa za msimu ambazo zimesababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali huko Sudan Kusini zimewaathiri watu zaidi ya laki saba nchini humo.
-
Mafuriko yasababisha watu laki sita kukosa makazi Sudan Kusini
Sep 25, 2020 23:16Mafuriko makubwa huko Sudan Kusini yamesababisha watu zaidi ya laki sita kuhama makazi yao tangu mwezi Julai mwaka huu. Umoja wa Mataifa jana Ijumaa ulitoa tahadhari baada ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kwa miezi kadhaa sasa kusababisha kingo za Mto Nile kupasuka.
-
Sudan Kusini yaomba mkopo wa dola milioni 150 wa kukabiliana na athari mbaya za corona
Aug 25, 2020 07:13Serikali ya Sudan Kusini imesema kuwa, imeiomba Banki ya Afrika ya Uingizaji na Usafirishaji Nje Bidhaa (Afreximbank) iipe mkopo nchi hiyo wa kuweza kukabiliana na athari mbaya za COVID-19.
-
Waliofariki dunia katika ajali ya ndege Sudan Kusini wafika 17
Aug 23, 2020 03:15Watu wasiopungua 17 wamepoteza maisha baada ya ndege ya mizigo kuanguka, muda mfupi baada ya kupaa angani ikitokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juba nchini Sudan Kusini.
-
Idadi ya watu waliouawa kwenye ghasia nchini Sudan Kusini yaongezeka
Aug 14, 2020 22:30Idadi ya vifo vya watu waliouawa katika machafuko ya jimbo la Warrap huko Sudan Kusini imeongezeka na kufikia 148 kufuatia mapigano yaliyojiri majuzi katika zoezi la kukusanya silaha zinazomilikiwa na wananchi.
-
Mkosoaji wa Rais wa Sudan akimbilia Marekani baada ya Rais Kiir kuamuru auawe
Jul 24, 2020 09:18Mchumi mashuhuri na mkubwa wa Sudan Kusini amekimbilia nchini Marekani bakidai kuwa, Rais Salva Kiir alikuwa ametoa amri ya kuuliwa kwake au kutekwa nyara akiwa Nairobi nchini Kenya.
-
Askari wa Uganda na Sudan Kusini wafyatuliana risasi, 4 wauawa
Jun 02, 2020 23:24Kwa akali wanajeshi wanne wa Sudan Kusini wameuawa katika makabiliano ya risasi na wenzao wa Uganda mpakani mwa nchi mbili hizo jirani.
-
Watu 287 wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini
May 21, 2020 03:20Mamia ya watu wameuawa katika mapigano ya kikabila katika jimbo la Jonglei, mashariki mwa Sudan Kusini.
-
Makamu wa Rais na Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini wapatwa na corona
May 19, 2020 03:11Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar na mkewe Angelina Teny ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo wamekumbwa na ugonjwa wa Covid-19, huku kesi za maambukizi ya virusi vya corona barani Afrika zikiendelea kuongezeka.