Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Zarif: Shambulizi la Marekani dhidi ya Syria ni uzushi hatari sana

    Zarif: Shambulizi la Marekani dhidi ya Syria ni uzushi hatari sana

    Apr 08, 2017 22:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa shambulizi la makombora lililofanywa na Marekani dhidi ya Syria ni kinyume na sheria za kimataifa na uzushi hatari sana.

  • Wamarekani waandamana kupinga mashambulizi ya nchi hiyo dhidi ya Syria

    Wamarekani waandamana kupinga mashambulizi ya nchi hiyo dhidi ya Syria

    Apr 08, 2017 11:21

    Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakipinga sera za kupenda vita na ubabe za serikali ya Rais mpya wa nchi hiyo, Donald Trump.

  • Marekani yaua zaidi ya raia 200 nchini Syria

    Marekani yaua zaidi ya raia 200 nchini Syria

    Apr 08, 2017 03:22

    Ndege za kivita za Marekani zimeua raia wasiopungua 204 tangu mwezi Machi hadi hivi sasa katika mashambulizi ya anga yanayofanywa na nchi hiyo huko Raqqah, kaskazini mwa Syria.

  • Sweden: Kisingizio cha shambulio la US Syria ni cha uongo kama cha Iraq

    Sweden: Kisingizio cha shambulio la US Syria ni cha uongo kama cha Iraq

    Apr 08, 2017 03:21

    Mjumbe wa kudumu wa Sweden katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madai yanayotumiwa na Marekani kuhalalisha shambulio lake la makombora nchini Syria ni ya uongo kama yaliyovyokuwa madai ya nchi hiyo wakati wa kuivamia Iraq mwaka 2003.

  • Rouhani: Hujuma ya Marekani Syria imeimarisha magaidi

    Rouhani: Hujuma ya Marekani Syria imeimarisha magaidi

    Apr 07, 2017 23:30

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hujuma ya Marekani nchini Syria na kutoa wito kwa walimwengu kupinga sera kama hizo na kuongeza kuwa, sera hizo za kivita za Marekani zitakuwa na matokeo mabaya na haraibifu kwa eneo na dunia nzima.

  • Al-Liham: Marekani inapiga ngoma ya Vita vya Tatu vya Dunia nchini Syria

    Al-Liham: Marekani inapiga ngoma ya Vita vya Tatu vya Dunia nchini Syria

    Apr 07, 2017 23:11

    Mwanaharakati wa Syria anayeishi Sydney, mji mkuu wa Australia amesema kuwa, hivi sasa Marekani inapigia ngoma ya Vita vya Tatu vya Dunia kupitia mashambulizi yake ndani ya taifa hilo la Kiarabu.

  • Kujiweka mbali waungaji mkono wa Trump Uingereza kufuatia mashambulizi ya Marekani huko Syria

    Kujiweka mbali waungaji mkono wa Trump Uingereza kufuatia mashambulizi ya Marekani huko Syria

    Apr 07, 2017 09:40

    Gazeti la Independent linalochapishwa mjini London Uingereza limeyataja mashambulizi ya makombora ya Marekani huko Syria kuwa ni yenye kukinzana na mabadiliko makuu katika siasa za Rais wa Marekani.

  • Syria: Marekani iko safu moja na magaidi kupambana na serikali

    Syria: Marekani iko safu moja na magaidi kupambana na serikali

    Apr 07, 2017 08:39

    Ikulu ya Rais Bashar al-Assad wa Syria imesema kuwa, mashambulizi ya Marekani dhidi ya kambi ya kikosi cha anga cha nchi hiyo katika eneo la Shayrat, mashariki mwa Syria ni hatua ya kijinga na inayotokana na mtazamo finyu wa kisiasa na kijeshi.

  • Radiamali ya awali ya Russia kwa shambulio la Marekani nchini Syria

    Radiamali ya awali ya Russia kwa shambulio la Marekani nchini Syria

    Apr 07, 2017 08:26

    Shambulizi la makombora ya Marekani dhidi ya Syria, ambalo limetekelezwa kwa amri ya kwanza ya kijeshi ya Rais Donald Trump dhidi ya serikali ya kigeni, limekabiliwa na radiamali tofauti na hasa kutoka Russia.

  • Iran, Russia zalaani hujuma ya US dhidi ya Syria, Israel na Uturuki zaunga mkono

    Iran, Russia zalaani hujuma ya US dhidi ya Syria, Israel na Uturuki zaunga mkono

    Apr 07, 2017 02:09

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani kuushambulia kwa makombora mkoa wa Homs ulioko magharibi wa Syria, kwa kisingizio cha 'kuiadhibu' Syria kwa shambulio la silaha za kemikali inayodai lilifanywa na serikali ya Damascus katika mji wa Khan Sheikhoun.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS