Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Chokochoko za Marekani Mashariki ya Kati zimeanza kwa kuishambulia kwa makombora Syria

    Chokochoko za Marekani Mashariki ya Kati zimeanza kwa kuishambulia kwa makombora Syria

    Apr 07, 2017 00:16

    Saa kadhaa baada ya kutangazwa mashauriano yaliyofanywa baina ya viongozi wa Marekani kwa ajili ya kuingilia kijeshi mgogoro wa Syria kwa kisingizio cha shambulio la silaha za kemikali lililofanywa katika mji wa Khan Sheikhoun, duru za Magharibi zimetangaza kuwa Washington imeshambulia kwa makombora mkoa wa Homs ulioko magharibi wa Syria.

  • Mwakilishi wa Republican katika Kongresi: Serikali ya Syria haikuhusika na mashambulizi ya silaha za kemikali

    Mwakilishi wa Republican katika Kongresi: Serikali ya Syria haikuhusika na mashambulizi ya silaha za kemikali

    Apr 06, 2017 09:30

    Mwakilishi wa chama tawala cha Republican katika Kongresi ya Marekani amekanusha madai yanayosema kuwa serikali ya Syria ilihusika na mashambulizi ya silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun huko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Jibu la Syria kwa uzushi wa magaidi na waungaji mkono wao

    Jibu la Syria kwa uzushi wa magaidi na waungaji mkono wao

    Apr 06, 2017 03:04

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad ametaka wahusika wa mashambulio ya silaha za kemikali yaliyofanywa katika mkoa wa Idlib wawajibishwe na kusisitiza kuwa jeshi la Syria halijawahi hata mara moja kutumia silaha za kemikali katika vita na magaidi.

  • Magaidi ndio waliofanya shambulio la kemikali nchini Syria

    Magaidi ndio waliofanya shambulio la kemikali nchini Syria

    Apr 05, 2017 22:49

    Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin amesema kuwa, magaidi ndio waliofanya mashambulizi ya silaha za kemikali nchini Syria.

  • Qassemi: Iran inalaaani matumizi ya aina yoyote ya silaha za kemikali

    Qassemi: Iran inalaaani matumizi ya aina yoyote ya silaha za kemikali

    Apr 05, 2017 11:41

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Tehran inalaani matumizi ya aina yoyote ya silaha za kemikali bila ya kujali waliofanya na aina ya wahanga wa mashambulio hayo.

  • Hamma Hammami: Rais wa zamani wa Tunisia, alikula njama za kumuondoa Rais Assad

    Hamma Hammami: Rais wa zamani wa Tunisia, alikula njama za kumuondoa Rais Assad

    Apr 05, 2017 09:40

    Msemaji wa Harakati ya Wananchi 'The Popular Front' ya nchini Tunisia amesema kuwa, Moncef Marzouki rais wa zamani wa Tunisia, alikula njama za kutaka kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria.

  • Jeshi la Syria lakanusha kuhusika na utumiaji silaha za kemikali

    Jeshi la Syria lakanusha kuhusika na utumiaji silaha za kemikali

    Apr 04, 2017 11:41

    Jeshi la Syria limekadhibisha madai ya wapinzani kwamba limehusika na shambulio la silaha za kemikali katika mji wa Khan Sheikhoun, mkoani Idlib.

  • Marekani yakiri imeua raia 400 Syria na Iraq

    Marekani yakiri imeua raia 400 Syria na Iraq

    Apr 03, 2017 00:07

    Muungano unaodaiwa ni wa kupambana na genge la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Marekani umekiri kwamba katika kipindi cha baina ya mwaka 2014 hadi 2017 umeua karibu raia 400 nchini Iraq na Syria katika mashambulizi yake ya anga.

  • Russia: Iran ni mshirika wa aina yake katika vita dhidi ya ugaidi

    Russia: Iran ni mshirika wa aina yake katika vita dhidi ya ugaidi

    Mar 31, 2017 10:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amepuuzilia mbali madai bandia kuwa Iran inaunga mkono ugaidi na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni mshirika mkubwa katika vita dhidi ya magenge ya kigaidi nchini Syria.

  • Jeshi la Syria laangamiza magaidi zaidi ya 2000 wa kitakfiri, Hama

    Jeshi la Syria laangamiza magaidi zaidi ya 2000 wa kitakfiri, Hama

    Mar 31, 2017 10:22

    Jeshi la Syria limefanikiwa kuangamiza maelfu ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Jabhat Fateh al-Sham karibu na mji wa Hama, ulio magharibi mwa nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS